Utawala wa KIKWETE katika siku za mwanzoni huwa ni balaa na Umwagaji wa damu tupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utawala wa KIKWETE katika siku za mwanzoni huwa ni balaa na Umwagaji wa damu tupu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Patty B, Jan 10, 2011.

 1. Patty B

  Patty B Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nakumbuka kwa mara ya kwanza Mh. alipoingia katika utawala mwaka 2005 aliingia na mkosi wa majambazi, ambao waliingia nao katika mtandao kwa kasi ya ajabu...hata kabla ya kumaliza siku mia moja za uongozi kukawa na matukio kadhaa ya ujambazi mkubwa wa uporajia mkubwa wa benki na unambazi mwingi, alisema angelidhibiti lakini wapi...hilo likapita ahueni ikapatikana kabla ya kuingia lingine la ufisadi...hilo tuliache...!

  Hapa juzi tu Mh kaingia tena madarakani, vurugu nyingi zimetokea, si majambazi tena bali ni vurugu zinazoanzishwa na POLISI wanaohamasiha ghasia (FFU), wametumia nguvu kubwa katika shughuli zao wanazoziita kutuliza ghasia katika utulivu, Damu imemwagika UDOM na Arusha, nini maana yake hiii...au jamaa anatoa kafara?????
   
Loading...