Utawala wa JK unavyotazamwa na Wenzetu ktk EAC walio na Maono yao!

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
431
Picha inaongea mara 100 zaidi ya maelezo mengi! Tumsaidieje??

JK just handsome.png


Wenzetu huko nje wanamuelewa vyema kuliko tunavyomfikiria sisi...hasa kuhusu mchango wake ktk EAC....!

Je tutafika??..........Nawasilisha!

 
duuuh!...mpaka nyumba ya jirani wanamuona mukulu wetu kilaza!hii aibu.
 
Ha ha ha ha ha ha.....nimecheka sana leo lol! lakini at the end nimejiuliza yafuatayo

  1. Je hii si aibu kwa watanzania wote
  2. Je nini cha kufanya?
 
Mi nampa heko sana huyo mchora katuni. Yaani kwa maneno yasiyozidi manne....kamaliza mchezo wote!
 
Back
Top Bottom