Elections 2010 Utawala wa Jk 2010-2015

Gurtu

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,247
342
Tuseme kuwa Jk atakuwa mtawala wa Tz. kwa kipindi cha 2010-2015.

Nimetambua kuwa Tanzania tunajihangaisha kufanya uchaguzi ili kupata viongozi kumbe Tanzania hatuna viongozi bali Watawala. Hali hii siwezi kukubaliana nayo kabisa. Lazima tuwe na fikra pevu kwani haiwezi kuingia akilini mtu anayeomba nafasi ya uongozi ndiye huyo huyo anayeagiza NEC watanzaze kile anachotaka yeye. Tuambiane ukweli, hata kama JK hajachaguliwa na wananchi Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi atamtangaza mtu mwingine ambaye siyo JK? Makame (Mwenyekiti wa Tume) anawajibika kwa JK kwa utaratibu wa kazi, je makame atakuwa anapokea maagizo toka kwa nani? Kama ni kutoka kwa Jk, ni aina gani ya maagizo kama siyo kwamba Jk atangazwe mshindi?

Tunapotaka tuiamini Tume ya uchaguzi ni kwa misingi gani tuiamini, Tume gani inayowajibika kwa yule yule ambaye ana maslahi anayoyataka kutoka kwa Tume hiyo hiyo. Ndiyo maana moja ya mambo mazito ambayo Dr. Slaa alitaka yafanyiwe kazi baada ya kuchaguliwa ni marekebisho ya katiba.

Kwa mwenendo huu Watanzania tunachezewa akili, tunaporwa haki zetu. Tutambue kuwa sasa tumeanza kutawaliwa na kama hatutaki kutawaliwa lazima tuchukue hatua. Haki haiombwi bali inadaiwa. Kura zetu za kuchagua viongozi wetu lazima zifanye kazi iliyokusudiwa isiwe kibali cha kuwaweka watawala madarakani kwa kuundiwa usanii wa Tume ya Uchaguzi na vyombo vingine kama TAKUKURU. Tangu uchaguzi ulipoanza TAKUKURU walienda likizo huku CCM wanagawa kanga, kofia, fedha nk. Baada ya kuona hilo nalo halijasaidia wakaagiza Wasimamizi wachakachue matokeo ya kura. Tuamke Watanzania, hali hii haipaswi kuachwa hivi hivi
 
naunga mkono hoja asilimia 200, we need change kubwa sana hasa kwenye KATIBA yetu, haya yote yanayo endelea ni kwasababu katiba yetu inatoa mianya hiyo.
 
mwishoni mwa utawala wa kikwete 2015 tutegemee yafuatayo..

1. mfumuko wa bei 50%

2.exchange rate at Tshs 3500/= per 1USD

3. lita moja ya petroli at Tshs 3300/=
 
Tuseme kuwa Jk atakuwa mtawala wa Tz. kwa kipindi cha 2010-2015.

Nimetambua kuwa Tanzania tunajihangaisha kufanya uchaguzi ili kupata viongozi kumbe Tanzania hatuna viongozi bali Watawala. Hali hii siwezi kukubaliana nayo kabisa. Lazima tuwe na fikra pevu kwani haiwezi kuingia akilini mtu anayeomba nafasi ya uongozi ndiye huyo huyo anayeagiza NEC watanzaze kile anachotaka yeye. Tuambiane ukweli, hata kama JK hajachaguliwa na wananchi Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi atamtangaza mtu mwingine ambaye siyo JK? Makame (Mwenyekiti wa Tume) anawajibika kwa JK kwa utaratibu wa kazi, je makame atakuwa anapokea maagizo toka kwa nani? Kama ni kutoka kwa Jk, ni aina gani ya maagizo kama siyo kwamba Jk atangazwe mshindi?

Tunapotaka tuiamini Tume ya uchaguzi ni kwa misingi gani tuiamini, Tume gani inayowajibika kwa yule yule ambaye ana maslahi anayoyataka kutoka kwa Tume hiyo hiyo. Ndiyo maana moja ya mambo mazito ambayo Dr. Slaa alitaka yafanyiwe kazi baada ya kuchaguliwa ni marekebisho ya katiba.

Kwa mwenendo huu Watanzania tunachezewa akili, tunaporwa haki zetu. Tutambue kuwa sasa tumeanza kutawaliwa na kama hatutaki kutawaliwa lazima tuchukue hatua. Haki haiombwi bali inadaiwa. Kura zetu za kuchagua viongozi wetu lazima zifanye kazi iliyokusudiwa isiwe kibali cha kuwaweka watawala madarakani kwa kuundiwa usanii wa Tume ya Uchaguzi na vyombo vingine kama TAKUKURU. Tangu uchaguzi ulipoanza TAKUKURU walienda likizo huku CCM wanagawa kanga, kofia, fedha nk. Baada ya kuona hilo nalo halijasaidia wakaagiza Wasimamizi wachakachue matokeo ya kura. Tuamke Watanzania, hali hii haipaswi kuachwa hivi hivi

Sheria ndiyo inayo muongoza na wala sio JK. Km mwataka tofauti badilisheni sheria na sehemu yake ni bungeni . Si tundu lissu yupo , mpeni hoja hiyo aipeleke .
 
On a seriuos note hakuna haja ya kufanya uchaguzi kama mshindi anajulikana
 
Naombeni wana forum mniambie ni nani mngetaka awe Mwenyekiti wa tume? Kama hawakuwa na imani mbona hawakusema toka mwanzo?

Najua yule mzee ni muungwana angejiuzulu halafu apatikane mtu mwengine.

Nani atoe haki zaidi ya Judge?
 
eti uchumi umekua kuna magari mengi kila nyumba mzuri kuna gari zaidi ya moja yaani ya baba na mama na watoto ati, sijui hayo magari watweka mafuta gani na kama nikubadilisha mfumo wa gesi gesi yenyewe bei juu
 
Nimeipenda sana hii. Nimetafakari kuhusu hili tokea matokeo yalipo anza kutangazwa nakosa majibu ni kwa nini tuna poteza gharama nyingi na muda wetu kuelekea kwenye vituo vya kupigia kura wakati kuna watu wanakuwa wamepanga matokeo tayari.
Hii ndiyo mara yangu ya mwisho kupiga kura haitatokea tena!!!!!!!!!!!!!!!!!! :A S angry:
 
Na wananchi wamedanganywa kwa shs. 5000, fulana, kofoa ma kanga. How long will these last. One thing I am certain of ni kuwa umasikini utaongezeka ukiambatana na ongezeko la ufisadi, umwinyi na usultani in the likes of Ridhiwani, January etc etc. Kila mara namkumbuka Mwl. Nyerere aliposema wakati anaugua kuwa anawasikitikia sana Watanzania wake.

Uchaguzi ukiisha napanda ndege kwenda kupumzika elsewhere na nitakuwa niki post humu from there for the next 5 years.
 
On a seriuos note hakuna haja ya kufanya uchaguzi kama mshindi anajulikana
Nakubaliana na wewe 100%. Hakuna haja ya kutumia gharama kama zilizotumika kugharamia uchaguzi kama hakuna utashi wa kisiasa wa kuwa na uchaguzi. Ni afadhani itangazwe rasmi kuwa Tanzania ni nchi ya chama kimoja tujue kuliko kuwafanya watu watoto.
 
tuseme kuwa jk atakuwa mtawala wa tz. Kwa kipindi cha 2010-2015.

Nimetambua kuwa tanzania tunajihangaisha kufanya uchaguzi ili kupata viongozi kumbe tanzania hatuna viongozi bali watawala. hali hii siwezi kukubaliana nayo kabisa. Lazima tuwe na fikra pevu kwani haiwezi kuingia akilini mtu anayeomba nafasi ya uongozi ndiye huyo huyo anayeagiza nec watanzaze kile anachotaka yeye. Tuambiane ukweli, hata kama jk hajachaguliwa na wananchi mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atamtangaza mtu mwingine ambaye siyo jk? Makame (mwenyekiti wa tume) anawajibika kwa jk kwa utaratibu wa kazi, je makame atakuwa anapokea maagizo toka kwa nani? Kama ni kutoka kwa jk, ni aina gani ya maagizo kama siyo kwamba jk atangazwe mshindi?

Tunapotaka tuiamini tume ya uchaguzi ni kwa misingi gani tuiamini, tume gani inayowajibika kwa yule yule ambaye ana maslahi anayoyataka kutoka kwa tume hiyo hiyo. Ndiyo maana moja ya mambo mazito ambayo dr. Slaa alitaka yafanyiwe kazi baada ya kuchaguliwa ni marekebisho ya katiba.

Kwa mwenendo huu watanzania tunachezewa akili, tunaporwa haki zetu. Tutambue kuwa sasa tumeanza kutawaliwa na kama hatutaki kutawaliwa lazima tuchukue hatua. Haki haiombwi bali inadaiwa. Kura zetu za kuchagua viongozi wetu lazima zifanye kazi iliyokusudiwa isiwe kibali cha kuwaweka watawala madarakani kwa kuundiwa usanii wa tume ya uchaguzi na vyombo vingine kama takukuru. Tangu uchaguzi ulipoanza takukuru walienda likizo huku ccm wanagawa kanga, kofia, fedha nk. Baada ya kuona hilo nalo halijasaidia wakaagiza wasimamizi wachakachue matokeo ya kura. Tuamke watanzania, hali hii haipaswi kuachwa hivi hivi

tanzania bila ccm haiwezekani !!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom