Kipindi chote cha kampeni alikua pembeni ya mfalme Jiwe.View attachment 1737526Umemuona mfitini? Mwenezi wa fitna.
4 GoodLord voldemort is gone
Alikuwa wanaamini kuwa Mwanadamu ataishi milele 😂Kipindi chote cha kampeni alikua pembeni ya mfalme Jiwe.
Namzee anafurahiaIlifika hata mtu akipata ajali akinusurika anaishukuru serekali ya JPM duuuh kufuru hizi?
Anaingilia kazi isiyomuhusu tena kazi ambayo ipo katika Taasisi za kiserikali wakati yeye alikuwa ni mfanya kazi wa chama . Aisee !!! Nchi ilivurugwa SanaPolepole alikuwa mkaguzi mzuri wa hesabu za serikali na mchumi mbobezi kuliko Ex CAG -Prof Assad.View attachment 1737439
Hili ni POVU la asiye kuwa na HOJA na ni mfano mzuri wa kukosa kitu cha kuzungumzia cha zidha kuujenga upande wako au kuubomoa upande mwingine, kinacho someka na maneno ya MFA MAJI, akijaribu kurudi ufukweni ambako pia hapajui, basi, anabaki kutapatapa tu ili mradi naye aonekane kasema kituhumu JF. Pole sana TOBOTEAM!Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli.
Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia.
Ufitinishi wa kina Cyprian Musiba ulifikia kiwango cha kutisha, Musiba aliweza kumfitini yeyote na wakati wowote bila woga akijua kwamba genge lao ndio lenye sheria na bosi wao ndio sheria yenyewe aliamua nani atoweshwe nani akirimiwe.
Kina Makonda waliishi kama miungu watu, kina Polepole walijirekodi mpaka video wakicheza kwa kejeli kwenye mazulia mekundu kwenye majumba ya Serikali sisi wengine tulikaa kimya tukiamini mpanda ngazi hushuka.
Spika alimnyanyasa Lissu kama jambazi yaani Lissu alilia akanyamaza Mungu wake alimfuta machozi na nyie kina Ndugai mliyekuwa mnamtetemekea kafa sasa anaitwa mwendazake subirini na nyie mlipe yale mliyoyafanya enzi zenu mkiwa miungu watu.
Mama Samia Suluhu Hassan jitenge kabisa na hawa watu
Polepole
Cyprian Musiba
Bashiru Ally
Makonda
Ayoub Ryoba - Mkurugenzi wa TBC
Nk
Imeandikwa amelaaniwa amtegemeae binadamu.
Mimi nimiongoni mwa walio shangilia Sana kifo chake na sijawahi kujuta kuhusu hiloKaua sana watu huyu mtu, kawabambikia kesi maelfu ya watu Kwa kupitia mtu wake Biswalo Mganga, katisha sana watu na kuwateka na kuwapora fedha kupitia Makonda, Sabaya na Gambo.
Ukweli lazima usemwe. Sikumlilia Magufuli na kamwe sitomlilia. Alichokipata ni kielelezo tosha kuwa Mungu hadhiakiwi.
AiseeHahahahah
Kheri James alikuwa mwamba kweli kweli, eti Tukitaka tunaleta maendeleo na tusipotaka hatuleti na hamna cha kutufanya daah…tena hayo unawaambia Wanyonge wanaokusikiliza ukiomba kura
Ukitaka kumjua mtu mpe madaraka na fedha
Magufuli alikuwa mwizi.Asilimia kubwa ya Watanzania waliona mema yake, Binafsi namshukuru Allah kwa kumleta Magufuli kaniachia funzo kuwa nikiamua naweza.
Watu aina ha Magufuli ua ni wachache sana, kwangu alikuwa Rais bora kuwahi kuona.
Pumzika Salama JPM.
Asilimia kubwa ya Watanzania waliona mema yake, Binafsi namshukuru Allah kwa kumleta Magufuli kaniachia funzo kuwa nikiamua naweza.
Watu aina ha Magufuli ua ni wachache sana, kwangu alikuwa Rais bora kuwahi kuona.
Pumzika Salama JPM.
Bilioni 60 kwa Miezi ingejenga Shule na madawati mangapiAibu
nenda kazungumze pale, 🤣🤣🤣ukatolewe kafara, wewe nenda tu, usizungumzie humu mtandaoniHela kujenga Ubungo zilitoka Chato? Na mbunge na meya wa eneo hilo walitoka Chato Empire??
ngojera za kusifu sasa basinenda kazungumze pale, 🤣🤣🤣ukatolewe kafara, wewe nenda tu, usizungumzie humu mtandaoni
Mwambieni Sasa Cyprian Musiba polepole na wenzenu wa mataga watambe Kama walivyokuwa wanatamba enzi za mwendazake.Hili ni POVU la asiye kuwa na HOJA na ni mfano mzuri wa kukosa kitu cha kuzungumzia cha zidha kuujenga upande wako au kuubomoa upande mwingine, kinacho someka na maneno ya MFA MAJI, akijaribu kurudi ufukweni ambako pia hapajui, basi, anabaki kutapatapa tu ili mradi naye aonekane kasema kituhumu JF. Pole sana TOBOTEAM!
Mfuate kaburiniHakika Hayati mzee Mkapa hakukosea kuwaita MALOFA