Utawala wa Hayati Dkt. Magufuli ulijaa kiburi, majigambo na uonevu, ufitinishi na visasi

Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli.

Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia.

Ufitinishi wa kina Cyprian Musiba ulifikia kiwango cha kutisha, Musiba aliweza kumfitini yeyote na wakati wowote bila woga akijua kwamba genge lao ndio lenye sheria na bosi wao ndio sheria yenyewe aliamua nani atoweshwe nani akirimiwe.

Kina Makonda waliishi kama miungu watu, kina Polepole walijirekodi mpaka video wakicheza kwa kejeli kwenye mazulia mekundu kwenye majumba ya Serikali sisi wengine tulikaa kimya tukiamini mpanda ngazi hushuka.

Spika alimnyanyasa Lissu kama jambazi yaani Lissu alilia akanyamaza Mungu wake alimfuta machozi na nyie kina Ndugai mliyekuwa mnamtetemekea kafa sasa anaitwa mwendazake subirini na nyie mlipe yale mliyoyafanya enzi zenu mkiwa miungu watu.

Mama Samia Suluhu Hassan jitenge kabisa na hawa watu

Polepole
Cyprian Musiba
Bashiru Ally
Makonda
Ayoub Ryoba - Mkurugenzi wa TBC

Nk

Imeandikwa amelaaniwa amtegemeae binadamu.
kweli mambo yamebadilika. Wiki mbili zilizopita uzi kama huu usingedumu hata dakika kumi tu, ungeshafutwa.
 
Ni lini mara ya mwisho ATCL ilpata faida?
???????????????????????.......tangu kuundwa kwake.... !!!!!!
Wapinzani walipokosoa ununuzi wa Bombadiers-11 walionekanna WASALITI na mipango ya kukatiza uhai wao....!!!!
 
Kweli watu walikuwa wanaogopa hata kuzungumza bila ya kumsifu yaani wewe sema utakavyosema lakini usisahau kumsifu,ukisahau tu ,kosa.
Na kila wakati
Kurudia rudia kutaja majina yake yote wakati yanajulikana kwa kila mtz.
Kumsifu kila wakati kwenye vyombo hata kwenye zamu za kupokezana kijiti cha uongozi wa jumuia/umoja za nchi mbalimbali.
Kunyamazia matukio ya mauaji, kushambulia, utesaji, ukandamizaji wa haki, ubambikizaji wa kesi yaliyo wazi kabisa - Acquilina na kumlinda Mkurugenzi, Polisi.
Kunyamazia na hata kushangilia uminywaji wa uhuru wa maoni, habari, demokrasia na haki za vyama vya siasa kufanya kazi zao; uvunjaji wa wazi sheria/katiba ya nchi.
Matumizii ya vyombo vya serikali vinavyoendeshwa kwa kodi za wananchi kwa faida ya CCM; TBC....
 
Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli.

Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia.

Ufitinishi wa kina Cyprian Musiba ulifikia kiwango cha kutisha, Musiba aliweza kumfitini yeyote na wakati wowote bila woga akijua kwamba genge lao ndio lenye sheria na bosi wao ndio sheria yenyewe aliamua nani atoweshwe nani akirimiwe.

Kina Makonda waliishi kama miungu watu, kina Polepole walijirekodi mpaka video wakicheza kwa kejeli kwenye mazulia mekundu kwenye majumba ya Serikali sisi wengine tulikaa kimya tukiamini mpanda ngazi hushuka.

Spika alimnyanyasa Lissu kama jambazi yaani Lissu alilia akanyamaza Mungu wake alimfuta machozi na nyie kina Ndugai mliyekuwa mnamtetemekea kafa sasa anaitwa mwendazake subirini na nyie mlipe yale mliyoyafanya enzi zenu mkiwa miungu watu.

Mama Samia Suluhu Hassan jitenge kabisa na hawa watu

Polepole
Cyprian Musiba
Bashiru Ally
Makonda
Ayoub Ryoba - Mkurugenzi wa TBC

Nk

Imeandikwa amelaaniwa amtegemeae binadamu.
Pumba tupu. Kaa kwa kutulia, hakuna kitakachobadilika.
 
Mama SSH kasikia hakika hao watu ni wa kujitenga nae.
 
Back
Top Bottom