Utawala wa CCM umeanza kudumaa

Ngoja sera ya majipu imalize uone wanavyo na watakavyobangaiza ,madudu kwa kwenda mbele !
Yule afisa wa TRA Gasper Mhina kawaleta Wachina na Waarabu akishirikiana na nyalandu waje kumtuliza Magufuli , wamekuja Kwa gia ya uwekezaji lakini nia Yao ni kumpooza Magufuli atulie waanze kuitawala Nchi kiuchumi wakombe kila kitu Kama awamu ya nne.
 
Cuf ndio imekufa Zanzibar haina wawakilishi haina mwananchi wakumsemea, chadema ndio uozo kabisa mafisadi ndio yamekua chimbo lao, na hawana lakulopoka tena everythingI is covered up na hapa kazi tuu, utakua kichaa kusema ccm imeduma
 
Sasa iv wamebakisha filamu ya wakuu wa wilaya, baada ya hapo mbwembwe kwishney
 
Cuf ndio imekufa Zanzibar haina wawakilishi haina mwananchi wakumsemea, chadema ndio uozo kabisa mafisadi ndio yamekua chimbo lao, na hawana lakulopoka tena everythingI is covered up na hapa kazi tuu, utakua kichaa kusema ccm imeduma

CCM ni chama cha msimu na mambo yake ndio hivyo kama wanaokurupushwa ,CUF kipo ndani ya mioyo ya binadamu wa Tanzania , Kwa Zanzibar kuwa na wawakilishi kutokuwa nao hakubadilishi maisha ya Mzanzibari ,na kwa uthibitisho CUF ina wabunge ambao watajaza nafasi za wawakilishi katika majimbo yao ,labda CCM Zanzibar wavunje Muungano.
Ila kwa wawakilishi waliokwisha ambiwa wafunge mkaja yaani kushinda Geza Ulole ,magufuli itambidi awalipe wafanyakazi wa serikali ya Zanzibar ,kazi tu na mizigo juu !
 
Unawasemea jamaa ambao walikuwa wana uhakika wa kupata uwakillishi lakini mkubwa wao kawafanyia myimanyongo kwa kuwa yeye kakosa Urais? Jamaa wana chuki hao na punde utawasikia wakinena hadharani. Wanaona wenzao ambao ni wabunge wanaendelea na maisha kama kawaida lakini wao wamenyimwa haki na mwenye chama.
 
Kama mnaamini Seifu ni mwenye Chama basi mwacheni afanye anavyotaka maana ni chama chake ,sasa makelele ya nini ?
 
Ccm inatumia vyombo vya dola kutatua matatizo yao ya kisiasa, vyombo vya dola vitakapowachoka kama sie raia tulivyowachoka hapo watakuwa kwishney.
 
Ngoja sera ya majipu imalize uone wanavyo na watakavyobangaiza ,madudu kwa kwenda mbele !
Mkuu....
Naona kumekucha sasa, ebu tulia uandike vizuri tukuelewe aiseee....
Maana uliweka post pengine ukiwa ndotona ka-mtu alie lala njaa
 
Back
Top Bottom