Elections 2010 utawala mpya wa Dr. Slaa kuibomoa na kuisuka upya Takukuru

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Taarifa zilizonifikia hivi punde za uhakika ni kuwa Dr. Slaa na timu yake mpya inayosubiri kukamata dola tayari wameanza mjadala mzito wa kuibomoa na kuisukuka upya Takukuru.

Ili kuwathibitishia raia ya kuwa Nchi hii sasa itaheshimu maadili ya utawala bora Dr. Hosea atakuwa wa kwanza kufutwa kazi kutokana na maagizo ya Bunge lililomaliza muda wake ambalo liliiagiza serikali kumfuta kazi kibosile huyu lakini JK akielewa anavyomuhitaji katika kufunika tuhuma mbalimbali zinazoikabili CCM alimlinda!!!!!!!!!!!!!!!

Mjadala unaoendelea ndani ya uongozi mpya mtarajiwa ni kuwa sheria ya Takukuru kupitiwa upya ili chombo hiki kiwe huru na wakurugenzi wake kuthibitishwa na Bunge.

Haya marekebisho inaaminika ni muhimu katika kuimarisha utawala bora hapa nchini ambao JK ameuzorotesha kwa masilahi yake binafsi na maswahiba wake wachache.
 
Kama ningepewa nafasi ya kutoa maoni sehemu, nitapendekeza TAKUKURU iwe ni idara muhimu katika kitengo cha usalama wa taifa...
 
Taarifa zilizonifikia hivi punde za uhakika ni kuwa Dr. Slaa na timu yake mpya inayosubiri kukamata dola tayari wameanza mjadala mzito wa kuibomoa na kuisukuka upya Takukuru.

Ili kuwathibitishia raia ya kuwa Nchi hii sasa itaheshimu maadili ya utawala bora Dr. Hosea atakuwa wa kwanza kufutwa kazi kutokana na maagizo ya Bunge lililomaliza muda wake ambalo liliiagiza serikali kumfuta kazi kibosile huyu lakini JK akielewa anavyomuhitaji katika kufunika tuhuma mbalimbali zinazoikabili CCM alimlinda!!!!!!!!!!!!!!!

Mjadala unaoendelea ndani ya uongozi mpya mtarajiwa ni kuwa sheria ya Takukuru kupitiwa upya ili chombo hiki kiwe huru na wakurugenzi wake kuthibitishwa na Bunge.

Haya marekebisho inaaminika ni muhimu katika kuimarisha utawala bora hapa nchini ambao JK ameuzorotesha kwa masilahi yake binafsi na maswahiba wake wachache.

Ni asilimia ngapi ya wabunge wanaingia Bungeni bila kujihusisha na rushwa? Watataka chombo hiki kweli kiwe huru? Hakuna wanaolipwa kupenyeza hoja walizotumwa na watu nje ya Bunge?
 
In actual fact, si Takukuru pekee, watendaji wakuu Serikalini, nawaonea huruma....itakuwa kama zama za marehemu Sokoine, heshima ya Serikali itarudi na si hii serikali ya kundi fulani au races fulani kuongoza kwa remote control, Kazi ipo jamani kusema ukweli.
 
TAKUKURU ipo kwa ajili ya kufunika maovu ya wale wanaoisimamia, ndo maana maagizo ya Bunge pia yalitupiliwa mbali.. Kitendo cha Utawala mpya wa Dr Slaa ni sahii..
 
Back
Top Bottom