Utawala: Kwa namna dunia ilivyo mabavu ni Jipu

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Utandawazi unapaka matope na kuzianika waziwazi tawala za mabavu. Uwe utawala
wa

*Kuziba midomo
*Kunyamazisha
*Kukaa muda mrefu madarakani
nk

*Ni lazima watawala wajifunze kutumikia watu badala ya kiwatisha
*Ni lazima kuzingatia Haki za Binadam UDHR 1948

ikiwa kiongozi yyt Yule away yupo madarakani akaambiwa vinginevyo, dunia na watu watamuadhibu
lazima dunia ita react tu.
 
Wazungu wakiyaonaga mambo yanayofanyika afrika nadhan huwa wanatudharau sana....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom