Utawala dhalimu wa kikwete ulishatabiliwa.....tafsiri yangu na relevance yake.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utawala dhalimu wa kikwete ulishatabiliwa.....tafsiri yangu na relevance yake..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by paty, Mar 5, 2011.

 1. paty

  paty JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  ni muda mrefu sana toka hayati bob marley afariki dunia...lakini ideas zake za ukombozi wa afrika na mtu mweusi kwa ujumla zinaendelea kuishi na kujidhihirisha sana hasa kwa jinsi serikali dharimu kam ya kikwete zinafanya kwa wananchi wake....
  ifuatayo ni tafsiri yangu toka kwenye nyimbo ya bob marley na uhalisia wa mambo yalivyo hapa nchi.............
  NIPE COMMENTS KWA UELEWA WAKO PIA......  Survival (1979)

  How can you be sitting there
  Telling me that you care ( MIZENGO PINDA NA WANAFIKI WENZIE )
  That you care
  When everytime I look around
  The people suffer in suffering
  In everyway. In everywhere ( REFFER GHARAMA ZA MAISHA KWA UJUMLA )

  Na-na-na-na-na
  We're the survivors; yes, the black survival

  I tell you what
  Some people got everything ( MAFISADI )
  Some people got nothing ( WATANZANIA WALALA HOI/WALIPA KODI )
  Some people got hopes and dreams ( WATANZANIA WALALA HOI)
  Some people got ways and means ( VIONGOZI NA MAFISADI WAO )

  Na-na-na-na-na
  We're the survivors; yes, the black survival
  Yes we're the survivors like
  Daniel out of the lions' den, survivors, survivors

  So my brethren, my sisthren
  Which way will we choose
  We better hurry, oh hurry woe now
  'Cause we got no time to lose (CHADEMA NDO NJIA AND WE BETTER HURRY )

  Some people got facts and claims
  Some peole got pride and shame
  Some people got the plots and schemes ( VITALU WANAVOJIMILIKISHA SAO HILI ETC
  Some people got no aim it seems ( WATANZANIA WANAO WA SUPPORT )

  Na-na-na-na-na
  We're the survivors; yes, the black survival
  We're the survivors; yes, the black survival
  We're the survivors like shadrach, meshach and abednego
  Thrown in the fire but never get burn ( HARAKAKATI ZITAENDELEA HA HATUWAOOGOPI)

  So my brethren, my sisthren
  The preaching and talking is done
  We gotta live up woe now, woe now ( TANZANIA TUAMKE…TUSHIRIKI MAANDAMANO SASA )
  'Cause the father's time has come
  Some people put the best outside
  Some people keep the best inside ( kizuri sasa tukiweke ndani CCM tuwaweke nje, PIIIPOOO’S..)
  Some people can't stand up strong
  Some people won't wait for long
   
 2. J

  Jonas justin Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda ndugu yangu nanikweli kabisa..
   
 3. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Bange bwana nzuri sana hapo ulipokuwa unatafakari hayo ulikuwa umekwishapiga pafu ngapi? Maana ile ukipiga inakufanya uweze kutafakari na kuchunguza mambo kwa kina na kisha kufanya maamuzi mazito we waangalie viongozi wote wanaopiga msuba duniani huwa ni viongozi wenye kuweza kufanya maamuzi mazito juu ya mustakabali wa mambo mbalimbali hata muheshimiwa wetu angepata japo pafu moja ungekuta amekwishafanya maamuzi mazito . Ushauri wangu kwake apige msuba aone kama atamwogopa mtu kwanza wakiwa kwenye vile vikao vyao akiwa amepiga akiwaangalia tu wote wanaangalia chini wanajua muheshimiwa leo hataki mchezo na atatoa tamko zito.
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  nimepiga stick 2 zisizo na miksa, hakuna mchungwa hiyooooooooooo. JK akipga moja kifafa kitamuua.si wajua kifafa chake kinatulizwa na mapepo ya HUYU MCHAWI SHEHE YAHAYA. sasa ile mambo na mapepo tofauti
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  Sasa wengine tukisema "tumbaku" utakasirika?
   
 6. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu umenikuna sana Ndugu yangu. Naomba nikujibu pia kwa nyimbo hii ya Bob Marley_RIP pia


  Redemption Song

  Old pirates, yes, they rob I;
  Sold I to the merchant ships,
  Minutes after they took I
  From the bottomless pit.
  But my hand was made strong
  By the hand of the Almighty.
  We forward in this generation
  Triumphantly.
  Won't you help to sing
  These songs of freedom?
  'Cause all I ever have:
  Redemption songs,
  Redemption songs.

  Emancipate yourselves from mental slavery;
  None but ourselves can free our minds.
  Have no fear for atomic energy,
  'Cause none of them can stop the time.
  How long shall they kill our prophets,
  While we stand aside and look? Ooh!
  Some say it's just a part of it:
  We've got to fulfill the Book.

  Won't you help to sing
  These songs of freedom?
  'Cause all I ever have:
  Redemption songs,
  Redemption songs,
  Redemption songs.
  Emancipate yourselves from mental slavery;
  None but ourselves can free our mind.
  Wo! Have no fear for atomic energy,
  'Cause none of them-a can-a stop-a the time.
  How long shall they kill our prophets,
  While we stand aside and look?
  Yes, some say it's just a part of it:
  We've got to fulfill the book.
  Won't you have to sing
  These songs of freedom? -
  'Cause all I ever had:
  Redemption songs -
  All I ever had:
  Redemption songs:
  These songs of freedom,
  Songs of freedom.
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160

  sisi wenyewe ndo tujikomboe, tujitoe kwenye makucha ya hawa wakoloni weusi...tusingoje watu toka nje
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Imekaa vizuri
   
 9. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kweli man. Mi mwenyewe nilikuwa namatatizo flan yamenitesa kwa muda mrefu kila nikifikiri jinsi ya kuyatatua nashindwa wiki iliyopita nikakama kijiti kimoja cha arush mwana unaambiwa masolution yalikuja yenyewe nikafanya maamuzi magumu sasa naishi kwa amani. Saa nyingine huwa tunaogopaogopa vitu flani katika maisha hata kuanzisha jambo tunaangalia upande wa matatizo zaidi ukikamatwa na hiyo hali ya kushindwa kufanya maamuzi haswa katika mambo magumu na uchague moja kama kumfukuza mtu mmoja au watano katika chama na chama kiwe safi na kiendelee kutawala au kubaki nao na kuua chama , au kuwastaki mafisimaji yote kiukweli na kuyafunga uyachape na viboka kama alivyofanya mwalimu au uache ili wananchi tujue kwamba hata lile bandiko lililosababisha mtandao wa zeutamu kufungiwa ni la kweli. Ndio kama mtu uko legelege unashindwa kufanyamaamuzi magumu unaolewa fasta. Kuwa strong man kama mwalimu, mandela, na wapiga msuba wengine afrika na duniani kwa ujumla
   
 10. peck

  peck JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  oooh so nice! BOB MARLEY, a truly revolutionist, hata kwenye "get up stand up" PATY you choose the right way to remind us and lure us towards true revolution.
   
 11. s

  smz JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona hapa sasa issue imekuwa kufagilia Msuba. Wengine vichwa vya panzi
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  The thread is very good but sounds partisan. We dwelt much into discussing personalities than ideas. Who told you that Chadema represents a viable atrnative to what is you refer as "sufferings". As usual, you never rested until you threw a line on JK! Poor you!
   
 13. paty

  paty JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  adui namba MOJA ..KIKWETE
   
 14. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kikwete si mtawala dharimu bali ameshindwa kuongoza nchi sababu hana vision na amewekwa mfukoni na wanaodaiwa kuwa ndiyo walikuwa nguzo kubwa kwake kuhakikisha anashindwa kuanzia chamani - ccm na general election. Tafadhari tofautisha vitu hivyo na kutawala kidharimu
   
 15. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Haire man!!!!!!!!!!!!!
  This has been good man, we've to fight for our country man!
  Bob aliona mbali leo hii tunayaona sasa Tutafakari kisha tuchukue hatua
   
Loading...