Utaushinda uzinzi tu ukishinda vishawishi vya uzinzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaushinda uzinzi tu ukishinda vishawishi vya uzinzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jan 31, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,494
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni najua wengi wanahaingaika na hii sekta
  labda tukumbushane ukweli ni muhimu kujua uzinzi ni ngumu sana kuushinda lazima
  ujue src ya uzinzi na uushinde ..uwezi kushinda uzinzi wakati umeshindwa kuushinda
  vishawishi vya uzinzi

  kuna neema ya mungu ukashinda uzinzi hata unapoaingia chumbani kwenye guets..wapo marafiki najua wamepona kushinda uzinzi wameshavua nguo wanaanza kuvaa condom wakapandisha mguu wa kushoto
  akipandisha wa kulia akasikia ganzi...akatoka nje akurudi tena....

  Nini maana yake kuna watu wanazini kabla hata awajuvua nguo wenzao...unaweza jua kuna mtu analala na mkewe usiku akifikiria kesho ana appointment ya demuwake..hii ndio tunayoongoleaa pengine umehangaika na unatamani kuushinda uzinzi lakini src ya kwanza shinda ile appointment..akipiga simu jifanye kama umesikia simu ya kifo cha mamayako ama dadayako......,,mi naweka hili wazi kusaidiana auitaji kwenda kwa waganga
  wengi wana kuwa na hisia za ajabu ajabu haya ndio maisha ya kuyashinda na ndipo utakuwa na amani na furaha moyoni mwako...kuna wakati unapigiwa simu na mwanamke ambae unatamani u achane nae mpe simu yako mkeo mweleze ajibu nini nakwambia una penya kwenye uzinzi

  wakati mwingine nilikuwa na amini bangi naweza kuiacha tu mpaka nikwa na maisha mazuri..lakini si kweli ni kwamba niliamini formsix nilifaulu nikiwa navuta bangi..chuo nitashindwa nini ??kweli nkamaliza nikiwa navuta msuba ..baada ya kumaliza shule maisha yakawa kombo ndipo nikaamini ni neema ya mungu tu ndio inaweza kuniokoa na si cheti changu ,,niliamini cheti pekee akiwezi kunipa kazi ila ni favour ya mungu ndio inaokoa hapo nikafundishwa jinsi ya kuishinda bangi na ilifika nikiona hata spinachi nasiki miguu inatetemeka ..lakini kumbe nikuamua kuweza...kuna watu ambao awawezi kusaidika hata uombe maombi ya kutoa machozi ya damu
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,494
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wameoa leo ama kuolewa na kuamini wamepewa na mungu ..lakini ukawa mzinzi wa milele
  kuna mwanamke mmoja namjua ni mtu mkubwa tu serikalini leo hii anakwambia pamoja na kuolewa yeye
  si kwamba atoshelezwi anapewa haki yake lakini asipolala na mwanaume mwingine asikii hamuu kabisa
  inapofika anasema akimaliza tendo na mumewake anaenda bafuni anachukua tumbaku anaweka kule sehemu
  alafu anamwagia maji ili asikie mchubuko ndio anarishika..usione wanawake wana magari yao ndani wanashuguli so utaona kuna mr kama mr na mr tumbaku..hao ni nje ya wale ambao akimaliza kazi ama wakati wa lunch time lile lisaa limoja linaangamiza wake za watu wengi sana sana...juzi nilimtania mkewangu kama ingekuwa inaread km alafu unajua umeacha na km kadhaa ukirudi unaisoma aisee ndoa nyingi zingekuwa zaidi ya vita vya al shababu
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,494
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  Kuna baba mmoja kanisani alikuwa na haka kaugonjwa cha uzinzi..ameoa na ni mzee wa kanisa
  alifika wakati kuna dada mmoja mzuri sana alikuwa chuo akawa anatafuta sehemu ya kuabudu
  akawa anafundisha pale church nakwamabia yule dada akiamka yule mzee unamsiskia anafanya shriii shriii
  wakati anafanya hivyo unahsi kuna mtu anamkaba kumbe anashikilia athuman wake asiamke zaidi...hali hii
  akajulishwa yule dada akamwombea sana sana akamwambia najua tatizo linakosumbua ...fanya 1-5
  yule mzee leo anaishi kama yuko magogoni na fammilia yake ..akuwahi kukosa ibada wala misa za kati kati
  so unaweza kuona mnaweza kuwa na mchungaji kaniisani anahubiri huku anazini...msipokuwa makini mnaishia washarika kuzini milele na kufikiria amtapeleka wapi lawama...someni sana shetana ni mbaya sana sana
  shetani alipofukuzwa alipoteza enzi...enzi ni kitu muhimu sana mwanaume anaweza kufikia sehemu akashindwa mwanamke akapita mwanaume aalipoteza enzi pale eden ..ni muhimu kujua uzinzi unakufanya unapoteza enzi yako ndio maana wengi wazinzi wanaishia maisha mabaya sana sio kwamba awana pesa la hasha enzi imewakimbia...kazini kunaharibika na mengineyo geuka sasa badili maisha yako rudi kwenye nguvu zako mungu akupe favour
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,182
  Likes Received: 10,531
  Trophy Points: 280
  ahsante kwa somo.
  nilikuwa napita tu.. ngoja nirudi jukwaa la siasa.
   
 5. MASELE

  MASELE JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  somo zuri wazinzi sasa ni muda wa kujilekebisha ili msipoteze enzi
   
Loading...