Utaumia!

>Jifunze kuwa wazi na kuongea kwa mpenzi wako kama amekukosea mwambie na msahemeane na kusahau yaliyopita.

[/QUOTE]

<br /
si kila jambo linafaa kusamehe na kusahau! Kwa mfano, haiwezekani umfumanie mkeo halafu umsamehe na kusahau!

Sasa inakuwaje kama mwenzi wako siku zote anajiona kama Mr/ Mrs Right, tokea muoane hajawahi kukuomba msamaha ingawa anakuumiza kwa vitu vidogo vidogo, lakini vikilundikana moyoni kama ulivyosema Pdidy vinajenga ufa mkubwa. Watu wa aina hii wanaona makosa ya wenzao tu na anaona ni haki yako kukupa hayo maudhi

Ahh we nawe km upo chekechea ahhh..mpk picha ndo uelewe...sema ...a...a inatumbo mbele...e ipo km mdomo wa dada...

Hahahahaha! TUMEZOEA ANAWEKA PICHA, hii thread yakichina/fake kabisa. Pdady weka picha bhaaana!

Mimi nimepita tu!!!!!!!!!! Nikirudi bila shaka nitakuwa nimeshiba na nitakuwa na cha kusema! Endeleeni na mada naja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

>Jifunze kuwa wazi na kuongea kwa mpenzi wako kama amekukosea mwambie na msahemeane na kusahau yaliyopita.

<br /
si kila jambo linafaa kusamehe na kusahau! Kwa mfano, haiwezekani umfumanie mkeo halafu umsamehe na kusahau![/QUOTE]
mazee kusamehe ni 70x70!

Similar Discussions

Back
Top Bottom