Utatuzi wa changamoto ya wanafunzi wa Chuo Cha Mw.Nyerere Memorial

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,874
Shukrani sana wizara ya elimu .Wizara kwa ukweli ni wizara imara sana kwa upande wangu ,mbali na changamoto zingine katika shule na vyuo vyetu .Ni wizara ambayo ikipata malalamiko ya wanafunzi yana shughulikiwa kwa wakati nimelishughudia hilo mara kadhaa.

Pia hongereni uongozi wa Mwalimu Nyerere pia kwa kuona umuhimu wa utatuzi wa tatizo hili.

Pia hongereni wanafunzi kwa kutoa taarifa kwa wakati.

Shukran sana kwa wizara ya elimu
Msichoke kupokea shida za wanafunzi kwa maslahi ya elimu yetu tunajua katika shule na vyuo vyetu kuna changamoto nyingi msichoke kuzishughulikia zinapofika mezani kwenu.
IMG_20190408_100303_292.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom