FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,812
- 109,091
Baada ya uzi wa awali: Kwanini Afrika ni Tajiri Waafrika(wengi) ni Masikini? - JamiiForums
Huu ni utatuzi pekee wa muda mfupi na muda mrefu ambao utatukwamua kuwatoa watu wetu kutoka katika umasikini hadi kuwa matajiri kama tulivyo na utajiri wa mali ghafi na utajiri wa mali asili.
Ufumbuzi ni, Serikali iondokane kabisa na utawala kama "regulators" wadhibiti na ianze utawala wa kuwa "facilitators" wasimamizi / wawezeshaji.
Naomba wafasiri wanisadie neno "regulator" na "facilitator" kwa Kiswahili au kama nimepatia tafsiri basi tuendelee.
Kwa neno "utawala" namaanisha "administration".
Kila wizara na idara ya serikali iwe msimamizi na mwezeshaji " facilitator" badala ya kuwa mdhibiti "regulator".
Naomba kila mmoja wetu aainishe vipi anaweza kuwa msimamizi/ mwezeshaji "facilitator" badala ya kuwa mdhibiti "regulator" katika nyanja yake.
Iwe ni mama wa nyumbani, mkulima, mfanya biashara, au mfanya kazi yoyote ile, vipi atakuwa msimamizi "facilitator" na vipi serikali itaweza kumsimamia / kumwezesha"facilitate" katika nyanja yake, mbadala wa kuwa wadhibiti "regulators"
Hii ni the simplest and the only solution we have. Amini.
Moderator naomba usiunganishe hizi nyuzi. Kipekee zina manufaa makubwa.