Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 207
Wana Jf. Kama tujuavyo tarehe 31 Dec is around the corner. Tumekuwa tukiwasikia mamlaka ya Teknolojia na mawasiliano wakitoa vitisho vyao vya kuhama kutoka analojia kwenda digital. Na kwa nilivyowaelewa wamesema kuwa ili uweze kuendelea kupata matangazo unatakiwa uwe una king'amuzi na TV yako iwe ya digital. Sasa swali ni je nitatambuaje kana ka TV kangu ni ka Digital? Maana nyingi hazioneshi utakuta mfano imeandikwa Sony wega tena unaambia ni original sasa nitaitambuaje kama ni Digital?