Utatambuaje kama TV yako ni ya Digital?

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Wana Jf. Kama tujuavyo tarehe 31 Dec is around the corner. Tumekuwa tukiwasikia mamlaka ya Teknolojia na mawasiliano wakitoa vitisho vyao vya kuhama kutoka analojia kwenda digital. Na kwa nilivyowaelewa wamesema kuwa ili uweze kuendelea kupata matangazo unatakiwa uwe una king'amuzi na TV yako iwe ya digital. Sasa swali ni je nitatambuaje kana ka TV kangu ni ka Digital? Maana nyingi hazioneshi utakuta mfano imeandikwa Sony wega tena unaambia ni original sasa nitaitambuaje kama ni Digital?
 
kwa ufupi ni kuwa hata baada ya desemba 31 tv yako itafanay kazi kama sasa,utatumia kama unavyotumia dvd kucheza video.tv za digital (mara nyingi) zina option ya kuingiza kadi kama za benki
 
wanaojua plse?? ila inasisitizwa twende tukanunue kifaa fulani mapema
 
Yangu imeandikwa digital na haina sehemu ya kadi, je ni batili?

Niliwahi kuandika makala huko nyuma kwenye gazeti la Jamhuri ngoja niitafute nikipata soft nitwaweeka hapa kusaidia.Lakini kwa ufupi hizi tv mlizonazo nyingi si digital bali ni flat tv zenye high dfn.zina ubora kama digital lakini ni flat tu! digital tv zina kingamuzi ndani jamani.
 
inasemekana TV zenye LCD screen ni za Digital ila zile zenye migongo mikubwa na kioo chake kama mboni ya jicho nimeambiwa hizo ni za analogia na kama unataka kuendelea kuitumia bila kununua tv ya flat screen basi nunua kung'amuzi ambacho kitaisaidia tv yako iendelea kuonyesha.

natumai nimesaidia kwa kiasi fulani kujibu swali lako
 
HAPANA HAPA HAPANA,husipotoshe watu,ambacho hujui sema hujui. unazosema ni analog pia ila zina ubora mkubwa wa kuona picha
 
[h=4]Step 1[/h]Inspect the front and back of the TV set for markings indicating that the TV is "digital ready." The labeling may vary and say "DTV," Digital Receiver," "Digital Tuner Built-In," "Integrated Digital Tuner," "HDTV" or "ATSC."

[h=4]Step 2[/h]Check the TV owner's manual for indication of digital signal reception if there is no marking on the TV itself. This information may be on the front of the manual or located by checking the manual index for "digital signals."

[h=4]Step 3[/h]Connect a standard TV antenna to the "Cable/Antenna" jack on the back of the TV set, turn on the TV and flip through the channels. If the TV is digital ready you will be able to see your basic local channels
 
HAPANA HAPA HAPANA,husipotoshe watu,ambacho hujui sema hujui. unazosema ni analog pia ila zina ubora mkubwa wa kuona picha

Napotosha kitu gani ndugu yangu LCD screen sio tu kwamba zina picha zenye ubora bali zinauwezo wa kupokea digita signals. Hapa ninapoandika nina tumia LCD scree ya Samsung ambayo ina option ya kubadili kama nataka kuitumia kwenye analog au digital
 
TV inakuwa digital or analogue?mh mim nadhan labda sijui hiyo kitu!LCD,LED nk nk na hizo zenye kichogo mnazosema zote hizo ni kwa technology ya kuonyeshea picha,bt sio receiving!my advance chemistry inanikumbusha hiyo ya kichogo CRO na zina frequency generator ambayo hu-burn current/electron na sio mambo ya digital or analogia!
 
walishaongeza muda. King'amuzi kwa kingereza ni receiver. Sasa mbona recever wengi wanazo. Km una dishi utaendelea kupata ila kwa kutumia antena ndo huwezi kupata. Hii itawakumba watu wengi wa dar sisi wa mikoani long time tuna madishi
 
there its where we are sory nyingi naona za kijiweni hapa lol
 
walishaongeza muda. King'amuzi kwa kingereza ni receiver. Sasa mbona recever wengi wanazo. Km una dishi utaendelea kupata ila kwa kutumia antena ndo huwezi kupata. Hii itawakumba watu wengi wa dar sisi wa mikoani long time tuna madishi
sema mimi nina dish ,hebu toka nje angalia nyumba kumi zinazokuzunguka ngapi zina madishi juuu?????
 
jamani tunacho bishana ni nini hapa? LCD screen nyingi zinazoingia ni DTV (Digital TeleVision au HDTV (High-Definition TeleVision). hizi zote digital television ambazo zina inbuilt receiver. kwa mwenye TV hii haitaji kununua kingamuzi ili apate matangazo ya public tv labda kama anataka kupata matangazo ya channel za kulipia. Tv za zamani ambazo zina mgongo zote zilikuwa ni za analogy. na kwa vile wazambazaji wa masiliano ta TV walikuwa wanatumia technologia ya analog kurusha matangazo ndo maana tukawa na mfumo wa analog source to analog TV. Pia kuna warusha matangazo ambao walishaanza kutumia technologia ya Digital lakini kwa vile wateja wao wengi wanatumia analog Tv, ilibidi warushe matangazo ya kutoka mfumo wa digital kwenda analog (digital source to analog tv). Tunakoelekea ni kuwa option ya analog itafungwa rasmi decemba kwa watoa matangazo kwa vile wote watahamia digital ila watumiaji watasaidiwa kuendelea kutumia tv zao za analog kwa kupachika king'amuzi ambapo sources zote zitakuwa digita lakini wapokeaji watakuwa mchanyiko (yaani wale wenye analogy TV wakisaidiwa na ving'amuzi kupata matangazo (digital source to analogy TV kupitia ving'amuzi) na wale wa Digital tv (digtal source to digital tv). Angalia Jedwari hapo chini. hiyo row ya kwanza ndo itafutwa kabisa
CombinationResult
[SIZE=-1]Analog source to analog TV[/SIZE][SIZE=-1]Analog picture (good)[/SIZE]
[SIZE=-1]Digital Source to analog TV[/SIZE][SIZE=-1]Analog picture (better)[/SIZE]
[SIZE=-1]Digital source to digital TV[/SIZE][SIZE=-1]Digital picture (best)[/SIZE]
 
Jamani kama ni huu mfumo umeanza kitambo kwa wenzetu wa nje na wengi wameshahofu sana kwamba madishi yanaenda kuisha kazi sivyo kabisa hata king`amuzi cha Zuku kwenye dish kubwa kinakamata na hapo nadhani kitu kitakachotokea ni kwa owners wa hizi local channels pale watakapo kuwa wamezuia channels zao kupitia hayo masafa. Sasa kweli tusione hata free channels za nje! Najua wazungu hawana uroho kama tulivyo. Yaani ukokote channels zote kwenda sijui wapi huko wanakosema. Wanatishia tu ili wanunue bidhaa zao. Hata zile analog antennas mpaka sasa hivi zinafanya labda wazuie hizo.
 
jamani tunacho bishana ni nini hapa? LCD screen nyingi zinazoingia ni DTV (Digital TeleVision au HDTV (High-Definition TeleVision). hizi zote digital television ambazo zina inbuilt receiver. kwa mwenye TV hii haitaji kununua kingamuzi ili apate matangazo ya public tv labda kama anataka kupata matangazo ya channel za kulipia. Tv za zamani ambazo zina mgongo zote zilikuwa ni za analogy. na kwa vile wazambazaji wa masiliano ta TV walikuwa wanatumia technologia ya analog kurusha matangazo ndo maana tukawa na mfumo wa analog source to analog TV. Pia kuna warusha matangazo ambao walishaanza kutumia technologia ya Digital lakini kwa vile wateja wao wengi wanatumia analog Tv, ilibidi warushe matangazo ya kutoka mfumo wa digital kwenda analog (digital source to analog tv). Tunakoelekea ni kuwa option ya analog itafungwa rasmi decemba kwa watoa matangazo kwa vile wote watahamia digital ila watumiaji watasaidiwa kuendelea kutumia tv zao za analog kwa kupachika king'amuzi ambapo sources zote zitakuwa digita lakini wapokeaji watakuwa mchanyiko (yaani wale wenye analogy TV wakisaidiwa na ving'amuzi kupata matangazo (digital source to analogy TV kupitia ving'amuzi) na wale wa Digital tv (digtal source to digital tv). Angalia Jedwari hapo chini. hiyo row ya kwanza ndo itafutwa kabisa
CombinationResult
[SIZE=-1]Analog source to analog TV[/SIZE][SIZE=-1]Analog picture (good)[/SIZE]
[SIZE=-1]Digital Source to analog TV[/SIZE][SIZE=-1]Analog picture (better)[/SIZE]
[SIZE=-1]Digital source to digital TV[/SIZE][SIZE=-1]Digital picture (best)[/SIZE]

Darasa tosha kabisa ubarikiwe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom