Utata Wazidi Kuongezeka Kuhusu Mtaalam wa Nyuklia wa Iran Kupotelea Kusikojulikana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata Wazidi Kuongezeka Kuhusu Mtaalam wa Nyuklia wa Iran Kupotelea Kusikojulikana!

Discussion in 'International Forum' started by Buchanan, Jun 11, 2010.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Jun 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Wapendwa wanaJF,

  Kuna Mtaalam wa Nyuklia mwenye siri za mitambo ya Nyuklia huko Iran amepotea tangu mwaka jana alipoenda kuhiji huko Makka, Saud Arabia na inasemekana yuko Marekani. Hata hivyo utata umegubika upoteaji huu wa huyu raia wa Iran! Angalia picha ifuatayo:

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jun 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Ingekuwa mada kuhusu mahusiano wachangiaji wangekuwa kibao hapa!
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,474
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Buchanan,
  Si rahisi kuchangia mjadala huu baada ya kuiona tape kwa sababu haikuwekwa bayana ukweli ni upi. Alikamatwa kwa nguvu au alihamia Marekani kwa hiari? Na kama ni kwa hiari alipata wapi visa? Saudi Arabia? Kwa sasa Umoja wa mataifa umepitisha vikwazo vingine dhidi ya Iran. Je, huyu jamaa kawapa Wamarekani nyaraka zinazothibitisha kinachoendelea katika mitambo ya nuclear ya Iran? Kuna maswali mengi zaidi ya majibu.
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jun 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Nionavyo mimi siku za Ahmedinejad zinahesabika! Amejitengenezea maadui sana ndani na nje ya Iran! Vitisho vyake dhidi ya Israel anafikiri vinamsaidia lakini vinaifanya Iran iwe karibu na vita kuliko wakati mwingine wowote!
   
Loading...