Utata wagubika baada ya askari anayepambana na madawa ya kulevya kushushwa cheo

Bongo nyoso, ukiharibu ugali wa mtu tazama unachomokaje ukizingua utatupwa baharini. Hali si shwari muoneeni huruma huyo jamaa, akiendelea na hizo hustle za madawa hazinaga ushujaa. Anacheza na cartel ambazo zimeanza kupata nguvu.
 
Tunakujua pia vizur wewe Meshack kwani kwa mara kazaa tumesikia pia mambo yako ya kuwatishia viongozi wa dini na watu wote tunaokuja hapo kituo cha polisi kijenge kuwa hakuna wakukutisha.



Achilia hayo wewe umekuwa na tuhuma za mauaji ya

Chalii yetu ambae alikuwa fundi anae kaa baraa pia Habari zako tunazo kuwa unamtumia mwandishi mmoja hapa mjini huyu huwa anampa pombe ili atume habari zake yote kwa yote nyie mapolisi ccm tu unatuchoka na ngonjera zenu



Alishapewa pombe pale kipong na masister ili amchafue maza kuhusu inshu mambo ya nyumba
 
Back
Top Bottom