Utata wa Sheria za Kenya...Hukumu ya kifo kwa kuiba 40 Sh.! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata wa Sheria za Kenya...Hukumu ya kifo kwa kuiba 40 Sh.!

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Ab-Titchaz, Jul 25, 2009.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jul 25, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kwa wale mnaokumbuka hii thread... https://www.jamiiforums.com/international-forum/28561-kenya-its-wazungus.html
  ..hebu linganisha hukumu ya huyo bwana hapo juu na hii story
  hapa chini.Kweli Kenya kuna sheria mbili, ya maskini/walalahoi
  na ya matajiri. No doubt about that.

  Two sentenced to death for stealing Sh40


  Published on 24/07/2009

  By Paul Gitau and Wahome Thuku


  Two people have been sentenced to death by a Malindi court for violently robbing a fisherman of a packet of cigarettes and Sh40.

  Malindi Principal Magistrate Dominica Nyambu sentenced Haidari Ahmed Shaibu and Ali Kassim to death after they were found guilty of the offence.

  They were charged that on the night of February 24, last year, at Buntwani beach in Malindi District, jointly with two others not before the court, they violently robbed Hussein Bahhassan of one packet of Safari Blue cigarettes and Sh40.

  Chief Inspector Dennis Onyango, who was representing the State counsel, informed the court the suspects accosted and attacked Bahhassan at the beach on his way to fish. Mr Onyango said the four-demanded money from the victim.Bahhassan told them he only had Sh40. This annoyed them and one of the accused cut him on the palm of his hand and below the check with a machete.

  Land dispute

  The complainant, who sustained a fracture and a deep cut, engaged the four in a tussle before he escaped to the roadside where he fell unconscious. A Good Samaritan took him to Malindi District Hospital, where he was admitted and discharged three days later.He reported the incident to police leading to the arrest of the two.

  While passing judgement, the magistrate said she had carefully considered the evidence adduced by the complainant, especially that he knew the accused persons before and the medical evidence before the court.

  "I have no doubt the accused persons are guilty and I convict them to death in accordance to the law," the magistrate ruled.

  The Standard | Online Edition :: Two sentenced to death for stealing Sh40&
   
  Last edited: Jul 25, 2009
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Jul 25, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Labda ndio sheria zao zilizopitishwa na bunge lao, kuwa mzungu akiuwa afungwe miaka michache, mwafrika mweusi akiiba kwa sababu ya njaa na kukata tamaa ya maisha auwawe ili nchi ipunguze walalahoi.
   
 3. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #3
  Jul 25, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kenya kuna majaji ambao hupitisha hizi hukumu kutegemea jinsi
  walivyolala na kuamka asubuhi. Kisha kuna kundi lengine ambalo
  hungojea simu kutoka ikulu kabla hawajapitisha hukumu. Hii kesi
  kwa vile haikua na 'mkubwa' basi Jaji kajiamulia mwenyewe hii
  adabu.

  Kisha naamini hawa washtakiwa hawakua na wakili na kwa hivyo
  hata kukata rufaa sidhani kama walifanya hivyo. The sentence is
  sealed...labada wapate presidential pardon siku za usoni.
   
 4. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  In Kenya a conviction for robbery with violence attracts a death sentence, ( irrespective of the accused race i.e whether mzungo or mswahili). From the story that is what the two were convicted of. The value of what was stolen is immaterial in this case.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh sheria hizi jamani.
  Sawa na mtu kakwapua cmu ya sh.50,000/= unamuweka ndani anakaa miezi 2 au 3 fikiria serikali inapata hasara kiasi gani kumtunza huyo mwalifu wa cmu ya elfu hamsini.
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mbona sheria ni kali sana! Mtu anahukumiwa kufa kwa kuiba sigara na sh. 40? Watunga sheria wanapaswa kuangalia upya sheria hii. Vinginevyo wengi watauawa sana.
   
  Last edited by a moderator: Jul 26, 2009
 7. L

  Lukundo Member

  #7
  Jul 25, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msisahau maelezo ya balozi wa kenya juzi, alitaja miongoni mwa maeneo yaliyo na mahakama za kadhi, pia malindi imo. Sasa isiwe, wale jamaa wa somalia walishakuwa na influence huko, labda ndo sharia inavyosema. Lakini ni sheria kali sana.
   
Loading...