utata wa muungano Dr Slaa apendekeza serikali 3

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Atamka serikali 3 ndio suluhiso.
Katiba ya tanganyika ndio itakidhi maslahi ya watanganyika.
Na zanzibar watapata maslahi yao.
Serikali ya muungano itaikisoa hizi mbili katika uwajibikaji wake.
Ataka wananchi wamuunge mkono....
Apendekeza watanganyika kudai utaifa wao..
 
Amekwambia mkiwa chumbani au?
LOW!
 
Atamka serikali 3 ndio suluhiso.
Katiba ya tanganyika ndio itakidhi maslahi ya watanganyika.
Na zanzibar watapata maslahi yao.
Serikali ya muungano itaikisoa hizi mbili katika uwajibikaji wake.
Ataka wananchi wamuunge mkono....
Apendekeza watanganyika kudai utaifa wao..
nimejitahidi kuelewa lakini nikifika hapo kwenye bold!?
 
Ukweli ni kwamba kuwe na serikali moja tu. Kila mtu awe huru kuchagua kutoka upande wowote.
 
mbona hamna jipya hapo mambo haya mbona ya ktambo sana,yy ndio aunge mköno waliomtangulia
 
Ukweli ni kwamba kuwe na serikali moja tu. Kila mtu awe huru kuchagua kutoka upande wowote.

Kama una moyo wa Muungano basi subiri ile moja itakayojumuisha Kenya, Uganda< Rwanda, Burundi na Tanganyika.
 
True, Mdebwedo wapate yao, sisi yetu, na moja ya waasisi wa muungano, just ceremonial gov
 
Sijui hata kwa nini BABA yangu na MAMA yangu walikutania hapa Tanzania... bora hata wangekutana Tripol ningejua moja.
 
Badala ya kuzungumza kijiweni peleka hoja Bungeni kwa kutumia wabunge wako wa Chadema. Sio kulalama chooni
 
Badala ya kuzungumza kijiweni peleka hoja Bungeni kwa kutumia wabunge wako wa Chadema. Sio kulalama chooni
Wewe yanakuhusu nini? endelea kukaa kwenu huko umangani Doha ulikoamua kuamishia makao. Ya kwetu huku utachie sisi! Hayakuhusu kabisa.
 
Wewe yanakuhusu nini? endelea kukaa kwenu huko umangani Doha ulikoamua kuamishia makao. Ya kwetu huku utachie sisi! Hayakuhusu kabisa.

Lazima Dr Slaa aelezwe ukweli. Bungeni amekaa zaidi ya vipindi 2 kwanini asipeleke hoja hiyo au ndio ameliona sasa.

Aache unafiki
.

Karibu Gahwa na haluwa basiiiiiiii
 
atamka serikali 3 ndio suluhiso.
Katiba ya tanganyika ndio itakidhi maslahi ya watanganyika.
Na zanzibar watapata maslahi yao.
Serikali ya muungano itaikisoa hizi mbili katika uwajibikaji wake.
Ataka wananchi wamuunge mkono....
Apendekeza watanganyika kudai utaifa wao..
dk slaa usijichanganye hakuna muungano wa seriklali 3 hapa kinachokuja na hakitobadilika tena karibuni ni kuvunjika kwa muungano huu ambao haukuweko kisheria, kila mtu atakuwa na nchi yake huo ndio msimamo wa wazanzibari, tunachukuwa nchi yetu tuendeshe kwa muruwa na nyi wagaga gigi koko tunakuwachilieni tanganyika yenu mumalizane kwa udini wenu, ukatoliki ulokithiri na ukabila uliokujaeni na uhasidi uliokuzongeni twashukuru bahari kututenganisha na nyie ham,totufisidi tena kwani tushajiandaa
 
Atamka serikali 3 ndio suluhiso.
Katiba ya tanganyika ndio itakidhi maslahi ya watanganyika.
Na zanzibar watapata maslahi yao.
Serikali ya muungano itaikisoa hizi mbili katika uwajibikaji wake.
Ataka wananchi wamuunge mkono....
Apendekeza watanganyika kudai utaifa wao..

Wakati Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere (RIP) anazima hoja ya G55 kuhusu Serikali TATU alisema hivi ninaomba kunukuu "Sera ya CCM ni serikali MBILI kuelekea serikali MOJA"

Wanzazibari mumeliwa chini ya CCM Zanzibar itakuwa mkoa na Rais wake atakuwa RC kama Hajart Mariam (RC for Coast region) pale watakapounda serikali MOJA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom