Utata Wa Maumbile Ya Wanaume

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba,
karibu wanawake tisa kati ya kila
kumi wanaridhishwa na maumbile ya
sehemu za siri za waume au
mabwana zao.

Kwa hiyo, ni mmoja tu kati ya
wanawake kumi ambaye haridhishwi
na saizi ya maumbile ya mpenzi
wake.

Hii ina maana kwamba, ni wanawake
wachache sana wasioridhishwa.
Lakini, hawa wapenzi wao ni wale
ambao kweli wana maumbile madogo
kupindukia, ambao idadi yao ni ndogo
sana.

Kinachofanya wanaume kupanga
foleni kwa waganga kutaka
kuongezewa ukubwa wa maumbile
yao, ni kutokana na kutojiamini kwa
wanume hao.

Lakini lipo tatizo lingine, je ni lipi?
Wanaume wenye tatizo hili
linalofahamika kitaalamu kama
small-penis syndrome, wanakabiliwa
na wasiwasi kwamba sehemu zao za
siri ni ndogo, wakati wala sio ndogo,
lakini wanaume hao kwa bahati
mbaya huamini hivyo.

Kama nilivyosema awali, kuna
wanaume wachache sana wenye
maumbile madogo kuliko kiasi, hali
ambayo hufamika kitaalamu kwa jina
la kubeza la micropenis .

Hawa wenye
wasiwasi wa kimaradhi,
huaminikwamba, nao wako hivyo
yaani maumbile yao ni madogo kuliko
kawaida, wakati si kweli.

Wastani wa maumbile yaliyowima ni
urefu kati ya inchi 5.5 hadi inchi 6.2.
wale ambao wana maumbile madogo
ambayo hayawezi kukidhi utashi wa
mwanamke wanakuwa na maumbile
ya wima ya urefu wa chini ya inchi
2.75.

kumbuka nimesema maumbile
wima, bila shaka mnanielewa vizuri.

Ni wanume wachache sana wenye
tatizo hili, lakini karibu wanume
watano kati ya kila kumi wangependa
kuwa na maumbile makubwa, bila
kujali maumbile yao ya sasa hivi.

Hii
ni dunia nzima siyo hapa nchini tu.
Hebu naomba mjipime kwanza kabla
hamjaingia kwenye ujinga wa kudhani
kwamba maumbile yenu ni madogo
au hayawatoshelezi wake au wapenzi
wenu.
 
Mkuu tatizo sio maumbile makubwa tatizo uwezo wa kusimama kwa mda fulani kuwa na umbile kubwa uku halina wezo wa kusimama kikamilifu ni mzigo hata kama unakipisi cha sigara kama kinasimama kikamilifu mbona shwali tu
 
Hivi wanawake wote wamepewa size sawa? Haya mambo haya uwa nikizunguzungu kitupu. Nguvu za kiume wanaume mbona hata wanawake hawana nguvu za kike wengi? Unapiga weweee hata kufika hafiki wakati mwingine dakika 4 kaishakojoa huyo mwanamke hadi anakuona mwanaume ni kero sasa najiuliza ni yupi yupo kwenye kiwango sahihi? Anaye chelewa nadhani ana mapungufu ya kike.
 
Wengi wao hawajiamin ndio kinachowasumbua

Chanzo ni wanawake kutotoa matokeo ya kazi anayokuwa anafanya mwanaume. Wewe msifie uone hiyo umsaidia kisaikrojia hata kuchelewa kufika mshindo. Mwanaume ukimponda inaweza hata kulala ikalala.
 
Mkuu tatizo sio maumbile makubwa tatizo uwezo wa kusimama kwa mda fulani kuwa na umbile kubwa uku halina wezo wa kusimama kikamilifu ni mzigo hata kama unakipisi cha sigara kama kinasimama kikamilifu mbona shwali tu
Yap
 
Hivi wanawake wote wamepewa size sawa? Haya mambo haya uwa nikizunguzungu kitupu. Nguvu za kiume wanaume mbona hata wanawake hawana nguvu za kike wengi? Unapiga weweee hata kufika hafiki wakati mwingine dakika 4 kaishakojoa huyo mwanamke hadi anakuona mwanaume ni kero sasa najiuliza ni yupi yupo kwenye kiwango sahihi? Anaye chelewa nadhani ana mapungufu ya kike.
Hili kweli. Mi nimekutana na wanawake hata dakika tano nyingi anakuwa keshamaliza. Ila humu nasikia sana malalamiko ya wanawake kwa wanaume kwamba wanamaliza haraka!
 
Hili kweli. Mi nimekutana na wanawake hata dakika tano nyingi anakuwa keshamaliza. Ila humu nasikia sana malalamiko ya wanawake kwa wanaume kwamba wanamaliza haraka!

Mimi mwenyewe nimeandika kitu ambacho nimeishakifanyia utafiti. Wapo japo ni wachache sana kati ya 10 unapata wa 4. Nilichogundua wanawake wana matatizo mengi utegemea ya bebwe na mwanaume utakuta mtu anawaza mama yake Mjomba Shangazi mdogo wake nk

Kibaya zaidi awe ameanza kujitegemea yaani utapata shida anawaza tv masofa kama ya rafiki yake ambaye anatembea na fisadi fulani.

So unapoanza kumuandaa yeye anakupa miguno tu akili inawaza gear gani akuingie ili umpe hiyo pesa tena wengine anakupa kila kitu ili unogewe ukauze na nyumba umpe yeye pesa,sasa hapa unaweza kuona unapewa wewe si yeye kupata raha,wa hivi utapiga sana utachezea sana lakini hakuna utakachoambulia.

Hakuna kitu kinatia raha kama kufanya mapenzi wote mkafika mwisho.

Wapo mpaka matapeli ile unakaribia kushusha ndipo anakuomba kitu lazima utakubali tu.
 
Mkuu mm sijui nimekosea kujipima naona kitu kimevuka viwango vya urefu, kina zaidi ya inchi 6.2
 
Back
Top Bottom