Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,879
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba,
karibu wanawake tisa kati ya kila
kumi wanaridhishwa na maumbile ya
sehemu za siri za waume au
mabwana zao.
Kwa hiyo, ni mmoja tu kati ya
wanawake kumi ambaye haridhishwi
na saizi ya maumbile ya mpenzi
wake.
Hii ina maana kwamba, ni wanawake
wachache sana wasioridhishwa.
Lakini, hawa wapenzi wao ni wale
ambao kweli wana maumbile madogo
kupindukia, ambao idadi yao ni ndogo
sana.
Kinachofanya wanaume kupanga
foleni kwa waganga kutaka
kuongezewa ukubwa wa maumbile
yao, ni kutokana na kutojiamini kwa
wanume hao.
Lakini lipo tatizo lingine, je ni lipi?
Wanaume wenye tatizo hili
linalofahamika kitaalamu kama
small-penis syndrome, wanakabiliwa
na wasiwasi kwamba sehemu zao za
siri ni ndogo, wakati wala sio ndogo,
lakini wanaume hao kwa bahati
mbaya huamini hivyo.
Kama nilivyosema awali, kuna
wanaume wachache sana wenye
maumbile madogo kuliko kiasi, hali
ambayo hufamika kitaalamu kwa jina
la kubeza la micropenis .
Hawa wenye
wasiwasi wa kimaradhi,
huaminikwamba, nao wako hivyo
yaani maumbile yao ni madogo kuliko
kawaida, wakati si kweli.
Wastani wa maumbile yaliyowima ni
urefu kati ya inchi 5.5 hadi inchi 6.2.
wale ambao wana maumbile madogo
ambayo hayawezi kukidhi utashi wa
mwanamke wanakuwa na maumbile
ya wima ya urefu wa chini ya inchi
2.75.
kumbuka nimesema maumbile
wima, bila shaka mnanielewa vizuri.
Ni wanume wachache sana wenye
tatizo hili, lakini karibu wanume
watano kati ya kila kumi wangependa
kuwa na maumbile makubwa, bila
kujali maumbile yao ya sasa hivi.
Hii
ni dunia nzima siyo hapa nchini tu.
Hebu naomba mjipime kwanza kabla
hamjaingia kwenye ujinga wa kudhani
kwamba maumbile yenu ni madogo
au hayawatoshelezi wake au wapenzi
wenu.
karibu wanawake tisa kati ya kila
kumi wanaridhishwa na maumbile ya
sehemu za siri za waume au
mabwana zao.
Kwa hiyo, ni mmoja tu kati ya
wanawake kumi ambaye haridhishwi
na saizi ya maumbile ya mpenzi
wake.
Hii ina maana kwamba, ni wanawake
wachache sana wasioridhishwa.
Lakini, hawa wapenzi wao ni wale
ambao kweli wana maumbile madogo
kupindukia, ambao idadi yao ni ndogo
sana.
Kinachofanya wanaume kupanga
foleni kwa waganga kutaka
kuongezewa ukubwa wa maumbile
yao, ni kutokana na kutojiamini kwa
wanume hao.
Lakini lipo tatizo lingine, je ni lipi?
Wanaume wenye tatizo hili
linalofahamika kitaalamu kama
small-penis syndrome, wanakabiliwa
na wasiwasi kwamba sehemu zao za
siri ni ndogo, wakati wala sio ndogo,
lakini wanaume hao kwa bahati
mbaya huamini hivyo.
Kama nilivyosema awali, kuna
wanaume wachache sana wenye
maumbile madogo kuliko kiasi, hali
ambayo hufamika kitaalamu kwa jina
la kubeza la micropenis .
Hawa wenye
wasiwasi wa kimaradhi,
huaminikwamba, nao wako hivyo
yaani maumbile yao ni madogo kuliko
kawaida, wakati si kweli.
Wastani wa maumbile yaliyowima ni
urefu kati ya inchi 5.5 hadi inchi 6.2.
wale ambao wana maumbile madogo
ambayo hayawezi kukidhi utashi wa
mwanamke wanakuwa na maumbile
ya wima ya urefu wa chini ya inchi
2.75.
kumbuka nimesema maumbile
wima, bila shaka mnanielewa vizuri.
Ni wanume wachache sana wenye
tatizo hili, lakini karibu wanume
watano kati ya kila kumi wangependa
kuwa na maumbile makubwa, bila
kujali maumbile yao ya sasa hivi.
Hii
ni dunia nzima siyo hapa nchini tu.
Hebu naomba mjipime kwanza kabla
hamjaingia kwenye ujinga wa kudhani
kwamba maumbile yenu ni madogo
au hayawatoshelezi wake au wapenzi
wenu.