Utata wa Kauli-mbiu ya Vua Gamba, Vua Gwanda Vaa Uzalendo

Kwa sasa sekretarieti ya CCM imekosa dira na muelekeo. Ukichunguza kwa makini utagundua wamekosa slogan ya kuwatambulisha kwa kishindo, as a result wameishia kucheza tunes za CDM.

Hayo ma vua gwanda, na gamba, vaa uzalendo, ukiiangalia kwa undani utaona ni kujaribu kufuta nyayo za CDM. Huu ni wakati wao kufariki naturally! Heko kwa Nape na Mukama.
 
Hawana jipya hao,bali wanatafuta namna ya kuficha aibu yao kwa kupoteza lengo halisi,
 
Back
Top Bottom