Kibunago
JF-Expert Member
- Jan 11, 2008
- 300
- 122
Hivi kweli ni hekima na picha gani wananchi wanayoipata ukisikia kuwa eti Serikali yamkataa Jaji Mkuu katika kesi ya samaki.
Tunaelewa kuwa kama Hakimu / jaji ana maslahi katika kesi fulani anatakiwa kujiondoa mwenyewe lakini kufikia hatua ya yeye (Jaji Mkuu) kukataliwa na kutangazwa katika vyombo vya habari mimi naona kuna utata fulani na si picha nzuri.
I stand to be corrected!