Utata mtupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata mtupu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibunago, Dec 17, 2010.

 1. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli ni hekima na picha gani wananchi wanayoipata ukisikia kuwa eti Serikali yamkataa Jaji Mkuu katika kesi ya samaki.

  Tunaelewa kuwa kama Hakimu / jaji ana maslahi katika kesi fulani anatakiwa kujiondoa mwenyewe lakini kufikia hatua ya yeye (Jaji Mkuu) kukataliwa na kutangazwa katika vyombo vya habari mimi naona kuna utata fulani na si picha nzuri.

  I stand to be corrected!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,245
  Trophy Points: 280
  Hii ndiyo serikali ya sisiemu. Nyie samaki lieni machozi yenu yaende na maji
   
 3. T

  Tom JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utata ni kwa CCM na KATIBA YA NCHI. Kwani jaji mkuu anateuliwa na nani.
   
 4. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kibs.
  mara mojamoja acha kufikiria kisisiemu sisiemu. hapo hakuna utata wowote kwanza Jaji mkuu ni nje ya mhimili ulioomba ajitoe. Pili ni kawaida upande mmoja usipokuwa na imani na refa huomba ajiondoe mradi kuwe na sabau zenye nguvu kisheria.
  Mifano ipo ambapo serikali ilishawahi kufanya hivyo ambapo iliomba Jaji Mwalusanya ajitoe katika kesi ya mgombea binafsi kwa madai kuwa alikuwa muumini wa haki za binadamu hivyo asingeweza kutenda haki.
   
 5. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duh nilifkiri Kibunango kabadili avatar!
  Kumbe Kibunago :lol:
   
 6. k

  kayumba JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona hukuweka sababu za serikali kumkataa JM, Labda naye anamasilahi pale! Lete kwanza sababu walizotoa ndipo tuchangie tukiwa tunajua kilichojili!

   
 7. papason

  papason JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Jaji Mkuu agoma kujitoa kesi ya samaki 'wa Magufuli' Send to a friend Thursday, 16 December 2010 20:39

  JAJI Mkuu wa Tanzaia, Agustino Ramadhan, amepuuza maombi ya Serikali ya kumtaka ajiondoe katika jopo la majaji wanaosikiliza maombi ya dhamana ya washtakiwa katika kesi ya uvuvi haramu, katika Ukanda wa Bahari Kuu wa Tanzania

  Sorce: Mwananchi


  Usaniii mtupuu, don't disturb! ze comedy bado inaendelea
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Samaki?
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hii mijizi ya ccm ovyo kabisa
   
Loading...