donocean
Member
- Jan 10, 2019
- 71
- 44
Hali vipi Wadau!
Nilitaka kujua namna ya kupiga hesabu duka la reja reja, yaani kujua faida iko vipi kama umeweka msimamizi. Hesabu haijapigwa tokea mwaka jana mwezi wa kwanza na kama tunavyojua in simple words kuwa kupata faida = mapato - matumizi.
Lakin naona kwenye duka la reja reja kuna mkanganyiko kidogo kwa kuwa vitu vinauzwa kimoja kimoja na mda mwingine nusu kabisa au kwa lita sasa ukichukua mapato toa matumizi kunauwezekano wa kuover or under estimate profit.
Sas nilitaka kujua namn bora ya kupiga hesabu duk la reja reja kwa kipindi hicho na uzingatifu wa vipimo vyote kipindi cha mauzo. Na kumbuka muuzaji alikuwa akiandika jumla ya mapato na matumizi ya kila siku.