busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,340
Tarehe 26 Dec kila mwaka huitwa "boxing day" na huadhimishwa ulumwenguni kote ....
Kwa maelezo kidogo nilopata ni kuwa ni siku ambayo wanafamilia na pia marafiki hupeana zawadi ...
Maswali:
a) Chanzo chake ni wapi na ni nani mwanzilishi?
b) Ni kwa nini iitwe BOXING ?
Msaada/Ufafanuzi tafadhali