Utata katika Rapidshare, MegaUpload, Kaspersky, AVG na Antivirus mbalimbali

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,216
Mkuu,

Asante kwa spidi kali unazoenda kuhakikisha wana-JF wanapata mavituzz ya nguvu. Mwenzio nilikua nauliza hivi, hizi downloads kutoka rapidshare zinahitaji mtu kua member au vp?

I have tried downloading some stuff like music na software kadhaa lakini nakwama kila mara.

Do you have to be a paid-up member in order to utilise it ama?

Shukran.
 
Tumia free user itakupeleka kwenye download ilipo na utaona sehemu ya kubonyeza.
Kukuruhusu downloading.

Stay online
 
si lazima uwe member ndio uweze kudownload materials kutoka rapidshare. ila usipokuwa member mara nyingi kuna limitation ya downloads unazoweza kufanya kwa wakati mmoja. wakati mwingine wanalimit to only one file kwa wakati mmoja.

kama una fedha jiunge na kuwa member na gharama yake wakati huo ilikuwa kama elfu kumi na mbili hivi za kitanzania. tafuta rafiki yako mwenye visa au master card ili aweze kulipia online. Rapidshare ni sehemu nzuri kupata files mbalimbali ambazo kama ungetakiwa kuzilipia zenyewe jasho lingekutoka !
 
Nimefurahi kwa wengi kuwa na mwitikio wa kumsaidia mwenzetu kwa kumpa ukweli wa RS.

Kifupi ni hivi... Hata kama ukiwa Premium Member, nakushauri na kukuomba SANA usitumie Premium membership ku-download!

Nashukuru na nadhani wengine wataelewa kuwa unatakiwa kubonyeza pale FREE USER.

Karibu
 
.... i wonder why people have to go thru unnecessary pains to find a dodgy key for ANTI-VIRUS PROGRAM. It's antivirus program for eff-sake!!! Get a genuine one. Full stop!!

.... most of these programs don't cost more than $35, and people spend easily well above that amount over the course of their weekends. how can someone not afford to protect themselves genuinely....daaaaym! Let's have priority pls! :(

.... i believe there are programs that i can be forced to find a key for... but definitely, not an anti virus one.

... notwithstanding, there are tons of free antivirus programs out there, utilising the same virus definition engines as the ones sold in order to access.... why bother then?

.... there is free AVG, there is Spy bot, there is windows defender... and whole lot more...

SteveD.
 
.... i wonder why people have to go thru unnecessary pains to find a dodgy key for ANTI-VIRUS PROGRAM. It's antivirus program for eff-sake!!! Get a genuine one. Full stop!!

.... most of these programs don't cost more than $35, and people spend easily well above that amount over the course of their weekends. how can someone not afford to protect themselves genuinely....daaaaym! Let's have priority pls! :(

.... i believe there are programs that i can be forced to find a key for... but definitely, not an anti virus one.

... notwithstanding, there are tons of free antivirus programs out there, utilising the same virus definition engines as the ones for access.... why bother then?

.... there is free AVG, there is Spy bot, there is windows defender... and whole lot more...

SteveD.

Look, which market are you referring to? Africa? Europe?

Spy Bot is NOT an antivirus, Windows Defender is so weak buddy!

BTW: See these:-

<nobr>TopTenReviews » Software » Anti-Virus Software </nobr><table class="compare" width="589" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr class="no_border"> <td width="132">
spacer.gif
<table cellpadding="3" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td width="40">
4_0.gif
</td> <td width="82">Excellent</td> </tr> <tr> <td>
3_0.gif
</td> <td width="82"><nobr>Very Good</nobr></td> </tr> <tr> <td>
2_0.gif
</td> <td width="82">Good</td> </tr> <tr> <td>
1_0.gif
</td> <td width="82">Fair</td> </tr> <tr> <td>
0_0.gif
</td> <td width="82">Poor</td> </tr> </tbody></table> </td> <td colspan="11" class="no_border" valign="bottom" align="left">
1-product-slant.gif
</td> </tr> <tr class="tbl_sep_white"> <td width="132">
spacer.gif
</td> <td>
spacer.gif
</td> <td>
spacer.gif
</td> <td>
spacer.gif
</td> <td>
spacer.gif
</td> <td>
spacer.gif
</td> <td>
spacer.gif
</td> <td>
spacer.gif
</td> <td>
spacer.gif
</td> <td>
spacer.gif
</td> <td>
spacer.gif
</td> </tr> <tr class="rank"> <td width="132">Rank</td> <td class="number">
gld-mtx.gif
</td> <td class="number">
sil-mtx.gif
</td> <td class="number">
bnz-mtx.gif
</td> <td class="number">4</td> <td class="number">5</td> <td class="number">6</td> <td class="number">7</td> <td class="number">8</td> <td class="number">9</td> <td class="number">10</td> <td class="bgfff" rowspan="250" width="46">
spacer.gif
</td> </tr> <tr class="tbl_row_grey"> <td class="rh" width="132">Reviewer Comments</td> <td class="rc"> </td> <td class="rc"> </td> <td class="rc"> </td> <td class="rc"> </td> <td class="rc"> </td> <td class="rc"> </td> <td class="rc"> </td> <td class="rc"> </td> <td class="rc"> </td> <td class="rc"> </td> </tr> <tr class="tbl_row_white"> <td class="rh" width="132">Lowest Price</td> <td class="prc">
$24.95

</td> <td class="prc">
$39.95

</td> <td class="prc">
$39.99

</td> <td class="prc">
$34.99

</td> <td class="prc">
$65.90

</td> <td class="prc">
$17.95

</td> <td class="prc">
$24.95

</td> <td class="prc">
$34.95

</td> <td class="prc">
$39.99

</td> <td class="prc">
$49.95</td></tr></tbody></table>

SOURCE: http://anti-virus-software-review.toptenreviews.com/

ALSO SEE:

reviewslftnav.gif

Top 17 Ativirus Programs:

<!-- LEFT NAV RANKING START -->
gold-nav.gif

BitDefender

sil-nav.gif

Kaspersky

bro-nav.gif

ESET Nod32

#4
AVG Anti-Virus

#5
F-Secure Anti-Virus

#6
Trend Micro

#7
McAfee VirusScan

#8
Norton AntiVirus

#9
CA Antivirus

#10
Norman Antivirus and Antispyware

#11
G DATA Antivirus

#12
Panda Antivirus

#13
AVAST!

#14
F-Prot

#15
PC Tools AntiVirus

#16
Webroot Antivirus

#17
ViRobot

disclftnav.gif

N/A
CyberScrub AntiVirus

N/A
The Shield Antivirus

N/A
WinAntiVirus

N/A
Windows Live OneCare

Remember: The AVG you can see is not a free version

PCWorld.gif

Top All-in-One Security Suites
 
i wonder why people have to go thru unnecessary pains to find a dodgy key for ANTI-VIRUS PROGRAM. It's antivirus program for eff-sake!!! Get a genuine one. Full stop!!
Mshikaji una sound kamadi vile......kama una uwezo wa vijisenti hivyo($35) sio wote tuna uwezo huo.Uwezo wetu ni tofauti sana kaka Steve....
.... i believe there are programs that i can be forced to find a key for... but definitely, not an anti virus one.
Ndiyo......kwangu hakuna programme ninayoweza kununua kwa kifupi ni choka mbaya
Invisible kazi nzuri.....Steve kama una uwezo huo nunua wewe sisi tutasubiri hizi
 
hebu acheni hizo, hapa bongo kila leo hii mnaenda kujirusha kwenye ma club na kuamka mkiwa chakari, halafu mnataka kuniambia kuwa hamuwezi kununu kitu cha kinga za kumputer kwa dolla 24?!!

haya mambo ya kila kitu bure ndiyo yanayotuangusha hapa afrika.... spybot is free and more powerful au equally powerful,

watu tumezidi kutegemea vya bure mno. hata sehemu ambapo tunatakiwa tununue bado tunasema hapa ni afrika.... hebu acheni hizo bana!! msitake kuniita mimi mpuuzi na sijui tabia zetu sisi wenyewe wabongo..

kama mtu anahitaji Adobe photoshop, au mtu anahitaji office 2007 na program nyinginezo ambazo ni ngumu kupatikana au ni aghali au si za lazima kwenye mashine zetu ndiyo ningaliwaelewa.... antivirus hivi sasa ni lazima kama si kama lazima kuwa nayo... halafu mtu useme kuwa kitu kama hicho ambacho kwa dolla 30 kina kuprotect wwewe na machine yako kwa zaidi ya mwaka bado nacho unahitaji kikiwa fake...au cha wizi wizi....

kwa fikra kama hizi...naanza kuelewa, ndiyo maana watu wanavaa chupi za mitumba ambapo wangeweza kabisa kujishonea wao wenyewe kwa kujituma kidogo tu...

msiniangushe ndugu zangu, let's have priorities!!
 
... Hapa Bongo kwa kifupi, Antivirus program kama wewe ni mwanamtandao ni sawa sawa kabisa na chandarua cha kujikinga na mbu!!

... Kilichobaki ni siye wenyewe kuamua tunapata vipi hivi 'vyandarua'

.... Tunaweza kujibana na kununua toka ng'ambo, tunaweza kuazima vya wenzetu, tunaweza kunyemelea vya wenzetu, tunaweza kutengeneza siye wenyewe kwa kiwango tujuacho, lakini pia tunaweza kabisa "KUSUBIRI MSAADA WA VYANDARUA HIVI BAADA YA ZIARA NYINGINE YA MAMA BUSH"

SteveD.
 
hebu acheni hizo, hapa bongo kila leo hii mnaenda kujirusha kwenye ma club na kuamka mkiwa chakari, halafu mnataka kuniambia kuwa hamuwezi kununu kitu cha kinga za kumputer kwa dolla 24?!! haya mambo ya kila kitu bure ndiyo yanayotuangusha hapa afrika....
Mkuu naona unasemea watu.....badilisha andiko sio wote mind you
watu tumezidi kutegemea vya bure mno. hata sehemu ambapo tunatakiwa tununue bado tunasema hapa ni afrika.... hebu acheni hizo bana!! msitake kuniita mimi mpuuzi na sijui tabia zetu sisi wenyewe wabongo..
Wenyewe wanachukua vyetu bure kwani hawana uwezo wa kununua na sisi tung'ae macho si uzumbukuku mazee?

kwa fikra kama hizi...naanza kuelewa, ndiyo maana watu wanavaa chupi za mitumba ambapo wangeweza kabisa kujishonea wao wenyewe kwa kujituma kidogo tu...
Mkuu una uhakika unatumia kila kitu genuine? elewa hatukeshi Bar(kigezo chako) na hela hatuna...sasa tufanyaje? tutumie anti virus ambazo sio ngangari au? wewe bwana kama una software ziweke hapa watu wafaidike nazo ndio familia ya JF tulivyo.....usitake kwa kuwa umenunua $30 basi na mimi ninunue hata sina fedha....dont be selfish
 
Mkuu naona unasemea watu.....badilisha andiko sio wote mind you

Wenyewe wanachukua vyetu bure kwani hawana uwezo wa kununua na sisi tung'ae macho si uzumbukuku mazee?

Mkuu una uhakika unatumia kila kitu genuine? elewa hatukeshi Bar(kigezo chako) na hela hatuna...sasa tufanyaje? tutumie anti virus ambazo sio ngangari au? wewe bwana kama una software ziweke hapa watu wafaidike nazo ndio familia ya JF tulivyo.....usitake kwa kuwa umenunua $30 basi na mimi ninunue hata sina fedha....dont be selfish

Sawa mimi selfish. If only you knew...
 
Ab-Titchaz,
umekwama wapi, au kivipi? Any error message?.

Lazydog,

Mathalani nilipokua najaribu ku-download ile Nero nilipata msg kua
windows haiwezi kufungua file (it doesn't support the file or something like that) na ikaniprompt ku-browse help.

Once I did that nikapata ujumbe kua niende kwenye website ya RAR kudownload ishu nyengine kibao.Then I stopped kisha nikaja humu kuitafuta usaidizi.I will try again kisha niwape the msg itelf or the link of where it sent me.

Invisible once again, I say thank you for your efforts in this.
 
Sawa mimi selfish. If only you knew...

Hahahaha...wewe mtu poa sana SteveD, lakini sasa utapigwa
makonzi tu!Unajua kuna watu watachukua ulabu kwanza kabla hawajaangalia ishu
nyengine kibao?...sio anti-virus tu.Hata dawa za matibabu mtu ana-debate
between that and getting beer...lakini kama wasemavyo waswahili, "ndivyo
tulivyo.."

On the flip side of this argument though...why buy it when you can get
it for free?...Swali tu!
 
... ABu, akhsante kwa swali.
... jibu, as long as huo usumbufu UTAkaoWEZA kukukumba kutokana na kutumia vya BURE utakuwa justified. Am ok with!

... Watu wanajisahau kuwa knowledge is power... Robot wetu anatuwekea haya madude kama enabling tu ya kuweza kujua kuwa, pale tunaposhindwa kabisa, basi alternative ipo... unaweza kukuta yeye mwenyewe zake zote amenunua au kwa vile alivyo mtundu.. amejitengenezea mwenyewe!! Hizi links anazotupatia ni kwa ajili ya kutuwezesha kuelewa kuwa ZIPO... pale tunapokuwa tumezidiwa tuzitumie...

...Yoyo hapo juu, kaniambia eti kama mimi natumia software zote zilizo genuine.... daaah, haya bana miye sina jibu kwake... kwa vile tu mimi nina advocate kutumia antivirus za kununua au zile za bure, don't mean kuwa all of a sudden nimekuwa angel fulani hivi... Ni mambo ya hoja na misimamo tu hapa. There are things i'll go for and there are things i won't. Antivirus ni Chandarua kwangu.

....Sasa Ab-Titchaz, je unataka chandarua ya bure unayohitaji kusiliba matundu kila siku au ni bora kununua yako itakayodumu?!!

SteveD.
 
Lazydog,

Mathalani nilipokua najaribu ku-download ile Nero nilipata msg kua
windows haiwezi kufungua file (it doesn't support the file or something like that) na ikaniprompt ku-browse help.

Once I did that nikapata ujumbe kua niende kwenye website ya RAR kudownload ishu nyengine kibao.Then I stopped kisha nikaja humu kuitafuta usaidizi.I will try again kisha niwape the msg itelf or the link of where it sent me.

Invisible once again, I say thank you for your efforts in this.

Yo Yo aliuliza pia kuhusu RAR issue.
Utahitaji Winrar program kuweza ku-extract files.
Download free version ya winrar au tumia search humu JF, waungwana wameweka links za cracked version.
.
 
Yo Yo aliuliza pia kuhusu RAR issue.
Utahitaji Winrar program kuweza ku-extract files.
Download free version ya winrar au tumia search humu JF, waungwana wameweka links za cracked version.

.

Lazydog, kuna QuickZip4. ni freeware na inafanyakazi kama archiver nyinginezo nyingi. Unaweza kujikuta hauhitaji sana hiyo cracked version. Unaweza ku-download kutoka hapa:

http://www.soft25.com/review.asp?id=77801

SteveD.
 
mimi naomba kuuliza tu, hivi hawa watu wa kapersky wanajua au hawajui kwamba software yao watu wanaifyatua na wametoa onyo lolote kwa wateja?, na je upi utibitisho kwamba hii antivirus uliyotutumia bwana invisible inafanya kazi kama kapersky original?, tusije tukainstall na maconfidence yote kumbe hiyohiyo ikawa ni agent wa virus
naomba kuelimishwa tafadhali
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom