Elections 2010 Utata katika matokeo ya Urais na Ubunge... NEC vipi?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Katika Jimbo la Monduli

Edward Lowassa CCM 3236
Molel Aman Chadema 2358

Lakini Uchaguzi wa Rais

Kikwete CCm 27198
Wilbroad Slaa 5446

Wapi Kikwete kapata kura zaidi ya lowassa ina maana walichagua rais kuliko mbunge?
 
unajua nini? tukichapana kidogo ndo tutaheshimiana tanzania.....sasa hapo uchakachuaji live kabisa
 
Kweli kabisa sometimes Amani bila ncha ya Upanga inakuwa ngumu Tanzania ni wanafki sana Amani my A>>, can u imagine sehemu ambayo Lowasa ni Mungu mtu eti watu wasishiriki katika kura za ubunge kisha wakapige za Uraisi wakati hata raisi hawampendi sababu ya kumnyima Morani wao uwaziri mkuu , inaingia hiyo akilini
 
Hizi ndo hoja za kuambatishwa kwenye malalamiko tukiiomba mahakama kuiamuru tume kusitisha mara moja zoezi linaloendelea mapka kasoro zitolewe maelezo na maamuzi kisheria.
 
Mwanzoni mwa mwezi wa kumi Taasisi ya Mtetezi ninayoiongoza ilimwandikia Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi kudai kuendesha zoezi la uchaguzi kwa haki. Tulituma kwa Tume na baadhi ya vyombo vya habari, lakini havikuiandika. Sasa ninaomba niwatumie muone yale tuliyoyasema mle jinsi yalivyodhirika kutokana na Tume kuvuruga uchaguzi huo. Kama kuna vyombo vya habari vinapenda kuitumia wana ruhusa ya kufanya hivyo
 
Attachments

  • mtetezi letter 2.pdf
    554.9 KB · Views: 144
Katika Jimbo la Monduli

Edward Lowassa CCM 3236
Molel Aman Chadema 2358

Lakini Uchaguzi wa Rais

Kikwete CCm 27198
Wilbroad Slaa 5446

Wapi Kikwete kapata kura zaidi ya lowassa ina maana walichagua rais kuliko mbunge?

Sympathetic!!!!
 
Slaa anasema kuwa kuna maeneo kama muheza kura zimebadilishwa wazi wazi aemtolea mfano wa same mashariki na hai/kasema muheza kuna kura zilizohakikiwa kituoni zilikuwa ni 300 lakini zilipofika ngazi ya wilaya zikawa 979.....
source:swahili voa
 
Mwanzoni mwa mwezi wa kumi Taasisi ya Mtetezi ninayoiongoza ilimwandikia Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi kudai kuendesha zoezi la uchaguzi kwa haki. Tulituma kwa Tume na baadhi ya vyombo vya habari, lakini havikuiandika. Sasa ninaomba niwatumie muone yale tuliyoyasema mle jinsi yalivyodhirika kutokana na Tume kuvuruga uchaguzi huo. Kama kuna vyombo vya habari vinapenda kuitumia wana ruhusa ya kufanya hivyo

Nashukuru sana kwa Uzalendo! Mungu akubariki!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom