Utata: Kanisa la Siloam

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,961
6,740
Habari zenu wanajamvi,

Hivi karibuni kumekuwa na utata hapo kanisani. Kwamba inavyoonyesha kuwa baada ya kifo cha mwanzilishi wa kanisha hilo Elia R.I.P kumekuwa na utata unaonekana umekaaa kimaslahi zaidi.

Hali ipo hivi. Mke wa mwanzilishi wa kanisa hilo anaidiwa kutaka kujimilikisha kanisa hilo ili aweze kufanya yale anayotaka hapo siku za mbeleni.Kumekuwa na migongano ya hoja hata kufikia walinzi kupewa oda ya kuzuia waumini kuingia kanisani hapo.

Habari nilizopewa na muumin wa muda mrefu wa kanisa hilo kuwa sasa, kulikuwa na plan za kubadilisha vitasa vya vilango ili kufungwa kwa kanisa ilo.
Waumini wa kanisa hilo na watu waishio around na kanisa hilo wanaeza kutujuza zaidi.
 
Habari zenu wanajamvi.

Hivi karibuni kumekuwa na utata hapo kanisani. Kwamba inavyoonyesha kuwa baada ya kifo cha mwanzilishi wa kanisha hilo Elia R.I.P kumekuwa na utata unaonekana umekaaa kimaslahi zaid.

Hali ipo hivi. Mke wa Mwanzilishi wa kanisa hilo anaidiwa kutaka kujimilikisha kanisa hilo ili aweze kufanya yale anayotaka hapo siku za mbeleni

Kumekuwa na migongano ya hoja hata kufikia walinzi kupewa oda ya kuzuia waumini kuingia kanisani hapo.

Habari nilizopewa na muumin wa muda mrefu wa kanisa hilo kuwa sasa, kulikuwa na plan za kubadilisha vitasa vya vilango ili kufungwa kwa kanisa ilo.

Waumini wa kanisa hilo na watu waishio around na kanisa hilo wanaeza kutujuza zaidi.
Wacha wafu wazike wafu wao!
 
Kuna kanisa lao hao jamaa nalifahamu Kibaigwa. Ni kama linapoteza waumini kila kukicha. Walikuwa na mbwembwe za kupiga mziki mkubwa kila saa kumi alfajiri siku hizi hakuna hiyo. Na hii imeanza baada ya Munuo kufariki.
 
Hawa jamaa wana imani ya ajabu ukijiunga tu na dhehebu lao wanakupatia majina mapya kuanzia lakwanza mpaka la mwisho na hata mji unaoishi wanaubadili jina mfano DAR inaitwa Siloam kwani wanaamini majina yote ya awali ni ya kishetani pia biblia inaitwa neno na wanaamini pia kuwa muumini wao wa kweli haugui wala hafi na hata Munuo wanaamini hakufa bali alipaa SHIKA NENO TENDA NENO wanapenda kuanza ibada zao saa 10 alfajiri ili kuwahi mibaraka ambayo wanaamini huwa wanapokwa na wale wanaopiga azana saa 11 asubuhi
 
wanaamini kuna nguvu katika jina lako....na mambo mengi mno, very interesting kusema ukweli! tafuta cd zao usikilize....
 
Hawa jamaa wana imani ya ajabu ukijiunga tu na dhehebu lao wanakupatia majina mapya kuanzia lakwanza mpaka la mwisho na hata mji unaoishi wanaubadili jina mfano DAR inaitwa Siloam kwani wanaamini majina yote ya awali ni ya kishetani pia biblia inaitwa neno na wanaamini pia kuwa muumini wao wa kweli haugui wala hafi na hata Munuo wanaamini hakufa bali alipaa SHIKA NENO TENDA NENO wanapenda kuanza ibada zao saa 10 alfajiri ili kuwahi mibaraka ambayo wanaamini huwa wanapokwa na wale wanaopiga azana saa 11 asubuhi
Hahahahahaaaa umenichekesha.
Ila ndo madhala ya hz tasisi mwenye maono akifa na dhehebu hufa inabd warud kusoma misingi ya kiuongoz kwa baba zao Katoliki,Lutheran,anglican.
 
hiyo ni kweli
 
wajinga ndo waliwao acha hao waamini waliwe mana imeandikwa watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa.hili dhehebu limewaharibu sana watu waamini wao wamekua km matahira wamekosa ht utu wa kibinadamu
 
Hawa jamaa walimpa jina jamaa mmoja cjui mti wa uzima,yani hawa hakuna mungu kbsa pale dada mmoja walibeba cheni eti wanaenda ikombowa kisa gold kwani ilirudi bas hatar sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom