Utata juu ya Rais Samia kuingilia kati tozo mpya za miamala

Kinachobadilika ni kanuni, sheria ipo palepale.......viwango vya tozo vinakuwa ndani ya jedwali na hivyo huweza kubadilishwa na waziri.
 
Muambieni mama asiivunje katiba, suala la tozo ni la kisheria...kama bunge lilijadiri na kuridhia huo muswada, na yeye akatia saini basi sheria itekelezwe kama inavyosema. Mambo ya kupitisha kanuni ama kuisimamisha sheria ya hizi tozo ni kutunyima haki yetu ya msingi !
Rais anamamlaka ya kusitisha sheria flani isitumike ..kwa mji wa katiba ...like late Magufuli alivyositisha sheria ya kikokotoo kipya kutumika
 
Kuna taarifa zinazopotosha kuwa Raisi eti kaingilia kati suala la Tozo, jambo hili si sahihi kuliweka au kulifanya lieleweke hivi.

Raisi alijua kila kitu na documents aliziona pia. Kwahio tukubali tu kuwa CCM walichemka na credit ziende kwa Upinzani

View attachment 1860029

View attachment 1860030
Huu ni udhaifu,mimi ningekomaa na hakuna ningebadilisha,Nchi haiwezekani kwenda kwa kubembeleza walipa kodi
 
Rais anamamlaka ya kusitisha sheria flani isitumike ..kwa mji wa katiba ...like late Magufuli alivyositisha sheria ya kikokotoo kipya kutumika
Rais Magufuli alisitisha kanuni iliyokuwa imeleta hicho kikokotoo kipya, hakikuwa kimewekwa kwenye sheria (correct me if I'm wrong) sina uhakika kama Rais ana mamlaka ya kusitisha sheria kufanya kazi...kama inawezekana naomba unisaidie kunionyesha ni wapi mamlaka hayo yameainishwa....
 
972CDC74-58F6-4A6C-9126-5362BA27F6BE.jpeg
BB033149-26F7-436B-B50A-ADDA497CD12A.jpeg
 
Back
Top Bottom