Utasimama kwa yupi?
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,394 2,000 Dec 14, 2010 #4 Kwa huyo mwenye tepu maana sina wasiwasi na nzakali yangu atavutiwa nayo tu na kujitoa kwenye picha kuwa demu halisi tuondoke zetu
Kwa huyo mwenye tepu maana sina wasiwasi na nzakali yangu atavutiwa nayo tu na kujitoa kwenye picha kuwa demu halisi tuondoke zetu
Abdulhalim JF-Expert Member Jul 20, 2007 16,724 2,000 Dec 14, 2010 #5 Dizaini hiyo ya choo kama funnel ile kupima maf'ta ya taa dukani kwa Mangi!
Raia Fulani JF-Expert Member Mar 12, 2009 10,213 2,000 Dec 14, 2010 #6 Mi ningesimama kwa huyo mwenye miwani anayeshangaa kitu
PhD JF-Expert Member Jul 15, 2009 4,006 2,000 Dec 15, 2010 #7 wote ni mali thangu ninyi ni mbwembwe tu.