Utasherehekeaje siku ccm ikisambaratika mwanangu?

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
22,638
8,403
Mimi namuomba MUNGU Nisife ili niione kwa macho yangu ccm ikifa kifo cha mende.
Siku hiyo itakuwa SIKUKUU kwangu.
Naipangia bajeti kwamba siku hiyo nipate Kidari cha kitimoto rosti kachumbali nzito yenye matango na pilipili masalo sawia. pembeni nina laga baridi kwa saana4
Nitaiona siku hiyo Inshaalah.
sijui mwenzangu umejiandaa vipi!
 
walking naked in my street to signify the birth of new Tanzania!
 
Binafsi sherehee yangu itakua kuhakikisha maguberi ya ufisadi yote yako ndani - mali zimetaifisha - accounts zao kufungwa...... That will be my sherehe.................
 
Hizo ni hisia za wenzetu, ziwe ziawavyo tuzithamini kama siyo kuzienzi au kuzifanyia kazi
 
Binafsi sherehee yangu itakua kuhakikisha maguberi ya ufisadi yote yako ndani - mali zimetaifisha - accounts zao kufungwa...... That will be my sherehe.................

hiyo ni plan nzuri sana,pia akaunti zao zilizo nje zinakamatwa
 
Nitakodi Bajaji zote hapa dar - zote maandamano toka tageta hadi jangwani...

CCM haiwezi kufa sababu kuna watu wananishi humo kwa nidhamu ya woga, kisa uvumilivu wa kisiasa wakati wanaumia. Kama kutoka basi hii KEY list ingeshatoka longi.. Sitta, Mwakyembe, Selelii, Malecela nk
 
Mwanangu mwanadamu si mkamilifu, hivyo kila kilicho anzishwa naye sio kamilifu nini ccm, kulikuwa na Roman empire nk nk wako wapi? kumbuka mamlaka inapojifitini haiwezi kudumu.
Ni haki ya MUNGU ccm lazima lazima ife wajanja wanajua hilo muda utasema.
 
Mimi namuomba MUNGU Nisife ili niione kwa macho yangu ccm ikifa kifo cha mende.
Siku hiyo itakuwa SIKUKUU kwangu.
Naipangia bajeti kwamba siku hiyo nipate Kidari cha kitimoto rosti kachumbali nzito yenye matango na pilipili masalo sawia. pembeni nina laga baridi kwa saana4
Nitaiona siku hiyo Inshaalah.
sijui mwenzangu umejiandaa vipi!

mkuu we ubini gani?
 
Nitajitokeza hadharani kuushawishi umma kuwachapa viboko mafisadi wote hadharani na kuwanyang'anya mali zao zote, na kisha kuwapeleka kusikojulikana.
 
ndoto za mchana hizo ndugu yangu,wakuivunja ccm ni mafisadi hao hao ambao wao watakuwa teyari wamejipanga.ccm haifi kwa maneno ma2pu mkuu
 
Wewe wasema, na muda nao utasema mwana!
 
Back
Top Bottom