Utashangaa bado kuna Watanzania 'watabisha' kuwa Tanzania hakuna kabisa uhuru wa vyombo vya habari

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,790
“ Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda dhidi ya nchi yetu kutoka mashirika ya kimataifa au wawakilishi wa mataifa ya nje “. @TZMsemajiMkuu

Ndugu zangu wa Tabata Relini Media, Kawe Beach Media na Mikocheni Industrial Area Media Shikamooni na mpo tayari pia.
 
Nimefuatilia huyu msemaji wa serikali, Dr Abbasi tangu ateuliwe, ni mtu asiyejiamini kabisa. Mwanzo alikuwa anasweat kweli kama anaongea na vyombo vya habari. Naona saizi amepata kaujasiri . Yaani nilikuwa namuonea huruma sana.
 
Gentamycine kwenye ubora wako hapo lazima u stretch akili mpaka umuelewe huyu jamaa

Back
Top Bottom