Utaratibu wa upigaji kura ni upi, Tick(vema) au Uandikaji wa jina?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,116
2,000
Kijijini Tulya,kata Tulya,Kitongoji Bambaraga...

Mpaka sasa hatujui utaratibu wa upigaji kura!wanaojua mnifahamishe,wananchi wanahofu mpango wa hujuma wa serikali kuhujumu wakisaidiwa na wakala CCM...

Hatuna shida na Mwigulu Nchemba!yeye amepita na kura keshapata in advance!

Uongozi wa kata,vijiji,vitongoji na ujumbe serikali za vijiji ndizoo tulizo na kinyongo nazo

MAKAMANDA..UTARATIBU NI UPI!?

VIVA IRAMBA MAGHARIBI
 
commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,116
2,000
Piganeni makamanda haki na rehema za mungu ziwatangulie katika vita hii ngumu dhidi ya hawa mabaradhuli...mafisadi ccm
 
commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,116
2,000
viva,utaratibu ni upi?
Unawahi asubuhi mapema na kitambulisho chochote halali,ballot paper itakuwa na nembo ya chama na kuna jina la mgombea husika na kuna picha yake.
Wewe unaweka tick au alama ya vema kwenye kibox kitakacho kuwa sambamba na mgombea wako na kuna na nembo ya alama ya chama chake.viva ukawa:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,116
2,000
Unawahi asubuhi mapema na kitambulisho chochote halali,ballot paper itakuwa na nembo ya chama na kuna jina la mgombea husika na kuna picha yake.
Wewe unaweka tick au alama ya vema kwenye kibox kitakacho kuwa sambamba na mgombea wako na kuna na nembo ya alama ya chama chake.viva ukawa:thumbup::thumbup::thumbup:
Asante
 
duanzi

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
16,446
0

Nembo ya Chadema iko kama ile ya kwenye viroba?
 
Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,699
1,225
Kuna wakati nadharau wanasiasa wote wale malaika(upinzani) na Wale wabovu(watawala)! Siamini hata kidogo kwamba hawaoni madhara ya utengenezaji wa pombe wa ujazo mdogo Kama wa viroba!!!

Bunge letu ndio hilo rahisi kuzungumzia mipasho na watu kuliko kuzungumzia mambo yanayobomoa taifa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom