Wajameni, sisi nchi za kiafrika tunajifahamu kwamba huu utaratibu wa kuweka red carpet kwa wakuu wa nchi ni utamaduni ambao ni wa wazungu. Pengine hata hatujui nini hasa maana ya haya mazuria mekundu kuwawekea wakubwa wapite.
Kuna utaratibu ambao sina hakika kama umekuwepo siku zote hapa kwetu, kuweka red carpet airport wakati wa Rais anapokuwa akipanda au kushuka kwenye ndege yake akiwa katika safari za ndani ya nchi (internal flights). Kwangu mimi naona kama ni vituko kumfananisha kana kwamba ni marufuku huyu Rais wa Kitanzania kukanyaga ardhi ya nchi yake mwenyewe. Nasema hivyo kwa sababu hao waliotuletea utamaduni huu sioni wakiyafnya haya tunayo fanya sisi. Sijaona Obama akiwekewa red carpet anaposhuka kwenye ndege yake Air force One ndani ya Marekani (Au gari lake - The Beast) au Her Majesty the Queen ndani ya UK, au popote pale nchi za Europe. Naelewa ni heshima kuwepo kwa red carpet kama mkuu wa nchi ingine anapokelewa airport. Nimeona picha za red carpet airport wakati Mh. Rais anarejea toka Dodoma, Mwanza na KIA. Hivi kweli hii siyo ulimbukeni au ndo utaratibu! Just curious.