Utaratibu wa Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa kwa mujibu wa Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa ya 2006

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Kifungu namba 7 (a): Baada ya kupata taarifa rasmi na uthibitisho wa Daktari kuhusu kifo cha kiongozi huyo

Rais atatangaza kifo cha kiongozi huyo kwa kutaja tarehe, muda na sababu ya kifo chake

Rais atatangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa na bendera kupepea nusu mlingoti

Rais ataitisha Kikao cha Baraza la Mawaziri

1595588104706.png
 

Attachments

  • The_National_Leaders_Funerals_Act,_2006_(Act_No_sw.pdf
    337.3 KB · Views: 96
  • 1.JPG
    1.JPG
    29.6 KB · Views: 10
Kwann kaburi la rais huchimbwa na usalama wa taifa?
Mbona lile kaburi la Rais Mkapa vijana wa Jkt waliopo mafunzoni ndio waliochimba kaburi,tena mpaka kufukia kwa zege vijana wa Jkt ndio waliohusika
 
Mbona lile kaburi la Rais Mkapa vijana wa Jkt waliopo mafunzoni ndio waliochimba kaburi,tena mpaka kufukia kwa zege vijana wa Jkt ndio waliohusika
Nafikiri trend ya uongozi inajulikana
1.Rais
2.Makamu wa Rais
3.Waziri Mkuu
.
.
.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom