Utaratibu wa maziko uheshimiwe! Nyimbo za kidunia mazishini ziachwe

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Utaratibu mbovu sana kuruhusu nyimbo za dunia makaburini,sio utaratibu mzuri hata kidogo.

Haiwezekani watu wanaleta mambo yao ya kihuni kwenye ibada za mazishi.

Viongozi na familia lazima msimame sio kuingiliwa kwenye mambo binafsi ya familia.

Ni kweli nyimbo tunazipenda ila kwenye mazishi acha utaratibu ufuatwe.

Kama mnapenda sana hizo nyimbo subirini mazishi yaishe watu watawanyike then leteni hizo nyimbo zenu za kihuni.

Katika ili viongozi wa dini mna nafasi kubwa sana kulikemea.,mbona wakizikwa viongozi hatusikii nyimbo za vyama.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli nyimbo tunazipenda ila kwenye mazishi acha utaratibu ufuatwe..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyimbo za kidunia ndio zipi? kwan ulipigwa wimbo wa nani uliokuchefua?
 
Andika vizuri mkuu ila Kuna vitu vichache kwa mtazamo wangu kwa haya unayosema.
1.Kama marehemu alikuwa Ni msaniii wa huo mziki so lazima mwisho wa Safari yake wanaweza fanya hivyo.
2.Pia kama ndugu wenyewe wanapenda kuweka hayo mamziki wanaweza fanya hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika vizuri mkuu ila Kuna vitu vichache kwa mtazamo wangu kwa haya unayosema.
1.Kama marehemu alikuwa Ni msaniii wa huo mziki so lazima mwisho wa Safari yake wanaweza fanya hivyo.
2.Pia kama ndugu wenyewe wanapenda kuweka hayo mamziki wanaweza fanya hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ibada ya mazishi inakuwa chini ya imani ya Maiti hivyo,hawatakiwi kuingiliwa km wanapenda bora wasubiri maziko yaishe.
Sio ibada ya mazishi inaendelea wao wanapiga mziki nakuforce

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu mbovu sana kuruhusu nyimbo za dunia makaburini,sio utaratibu mzuri hata kidogo.

Haiwezekani watu wanaleta mambo yao ya kihuni kwenye ibada za mazishi.

Viongozi na familia lazima msimame sio kuingiliwa kwenye mambo binafsi ya familia.

Ni kweli nyimbo tunazipenda ila kwenye mazishi acha utaratibu ufuatwe.

Kama mnapenda sana hizo nyimbo subirini mazishi yaishe watu watawanyike then leteni hizo nyimbo zenu za kihuni.

Katika ili viongozi wa dini mna nafasi kubwa sana kulikemea.,mbona wakizikwa viongozi hatusikii nyimbo za vyama.?

Sent using Jamii Forums mobile app
sijawahi shuhudia hili jambo kwenye misiba niliyowahi shiriki... hii imetokea wapi? kama ni kweli basi ni ajabu.. lakini pia kuna nyimbo za wasanii wetu zenye mlengo wa misiba kama kazi yake mola ya madee n.k hizi zikipigwa no problem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu mbovu sana kuruhusu nyimbo za dunia makaburini,sio utaratibu mzuri hata kidogo.

Haiwezekani watu wanaleta mambo yao ya kihuni kwenye ibada za mazishi.

Viongozi na familia lazima msimame sio kuingiliwa kwenye mambo binafsi ya familia.

Ni kweli nyimbo tunazipenda ila kwenye mazishi acha utaratibu ufuatwe.

Kama mnapenda sana hizo nyimbo subirini mazishi yaishe watu watawanyike then leteni hizo nyimbo zenu za kihuni.

Katika ili viongozi wa dini mna nafasi kubwa sana kulikemea.,mbona wakizikwa viongozi hatusikii nyimbo za vyama.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ameishi kidunia kupiga nyimbo za dini haitasaidia
 
Nyimbo zisizokuwa za kidunia ni zipi? Hata hivyo kama ndugu wameafiki shauri yao achana nao mradi sherehe ya mazishi imeenda kama wahusika walivyopanga
 
Back
Top Bottom