IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Utaratibu mbovu sana kuruhusu nyimbo za dunia makaburini,sio utaratibu mzuri hata kidogo.
Haiwezekani watu wanaleta mambo yao ya kihuni kwenye ibada za mazishi.
Viongozi na familia lazima msimame sio kuingiliwa kwenye mambo binafsi ya familia.
Ni kweli nyimbo tunazipenda ila kwenye mazishi acha utaratibu ufuatwe.
Kama mnapenda sana hizo nyimbo subirini mazishi yaishe watu watawanyike then leteni hizo nyimbo zenu za kihuni.
Katika ili viongozi wa dini mna nafasi kubwa sana kulikemea.,mbona wakizikwa viongozi hatusikii nyimbo za vyama.?
Sent using Jamii Forums mobile app