Utaratibu wa malori kutengenezewa barabarani utaisha lini?

mchakavumlasana

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
389
212
Habari zenu.

Hivi huu utaratibu wa magari hususan malori kuharibika na kuanza kutengenezwa hapo hapo barabarani lilipoharibikia utaisha lini? Ndivyo sheria zetu za barabarani zinavyosema? Ina maana magari ya kuyavuta hakuna au yapo kama mapambo?



Mamlaka husika mpo??
 
Back
Top Bottom