Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 33,658
- 2,000
Kukiwa kuna dalili ya machafuko kushika kasi huko South Sudan huku waasi wakishikilia miji tofauti na dalili za wageni kushambuliwa Kenya imepoteza raia wawili wakati ndege ya Marekani imeshambuliwa. Je ni taratibu gani zinaafnaya kuondosha Watanzania walio huko? Kenya, Uganda na Rwanda wameondoa wao, Je Watanzania waliokwama huko wataondolewa lini? Memba na Pinda na Jk mwenyewe mna utaratibu gani? Naomba maelezo