Utaratibu wa Kuunda Katiba. Zanzibar Wasipewe Sauti Kubwa Bara

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kutokana na Taratibu Zinazo Tegemea Kuunda Tume ya Katiba, Zanzibar Wasipewe Effluence Kubwa Kama Bara. Jambo la Kwanza Zanzibar Wanaserikali Yao Wenyewe na Katiba Yao:

EISA Zanzibar: Constitution

The Tanzania National Website

Pili Wananchi Tunafahamu Population ya Zanzibar ni Wananchi 981,754. Sisi Wabara Population Yetu ni Wananchi 43millioni. Sijui Kama Kuna Usawa Wowote Ule wa Kuwapa Zanzibar Sauti Kubwa Katika Tume na Uundwaji wa Katiba. Kitu Muhimu Hapa ni Kuangalia Sana CUF-Visiwani na CUF-Bara Watakapo Jaribu Kutafuta Uhalali wa Kuharibu Hii Dialog ya Katiba. Wananchi Tujitahidi Sana Kumkwepa Jk na CCM Katika Njama ya Kutaka Kuwapa Sauti Visiwani na Kuiingiza CUF Katika Tume Kama Wawakilishi wa Tume ya Katiba. Ndoa ya Sharif, CUF-Visiwani na CCM Sasa Tutaona Watachakachuana Vipi Katika Swala la Katiba. Kitu Kingine ni Kuangalia Jinsi CCM Inataka Kumanipulate Bunge Letu Dodoma kwa Kuwapandisha CUF Juu ya Chadema. Wananchi Tuwe Macho na Vita Ndio Vimeanza na Hakuna Kuruhusu CCM Manipulations Kwa Sababu Tumeshawaona Jinsi Gani Walivyo Wabaya kwa Taifa Letu. CUF-Visiwani Piganieni Katiba Yenu Si Mmeshinda Visiwani Pia?

"Tujiandae na Kila Njia ya Kutaka Kuwarubuni na Kuleta Usanii Katika Kuunda Katiba"
 
Nothing will ever be attempted if all possible objections must first be overcome.Let us never, never doubt what nobody is sure about. Lets attempt and avoid having too much agreement as that will kill the process. Allow nobody to assume superiority in the process as to dictate over others. Free flow of ideas should not be questioned and each contribution must be respected. No mistakes will be entertained in this process this time as the cost is unbearable. We can not afford to misuse the opportunity. Come and join hands in making the process a reality without contravening the Law of Respect to All Human Beings.
 
Back
Top Bottom