Utaratibu wa kusafiri China ni vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu wa kusafiri China ni vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, Apr 15, 2011.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa nafahamu kuwa Mtanzania akitaka kwenda China anaweza bila ya kuomba visa. Leo nimeiona habari hii Global Publishers kuwa kupata visa ya China imekuwa shida. Je, nilikuwa na habari ambazo si sahihi? Naomba kufahamishwa.

  VURUGU UBALOZI - Global Publishers
   
 2. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tanzania ni nchi ya ajabu sana, serekali haina msimamo, haya matatizo hayakuanza leo, toka mwaka jana, lakini viongozi wamekaa na mitoothpick mdomoni hawana jipya.
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,315
  Trophy Points: 280
  Global publishers!! Namashaka nao. hawa c ndo wanaandika habari za udaku..labda nao huo ni udaku.
   
Loading...