Utaratibu wa kurejesha magwanda ya Polisi kwa waliofukuzwa kazi ukoje?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,644
218,096
Mwigulu Mchemba kiongozi aliyevuliwa uwaziri wa mambo ya ndani , aliwahi kuonekana mara kadhaa akiwa amevaa Magwanda ya Jeshi la polisi , sina hakika kama aliwahi kupewa kirungu ama silaha yoyote .

Sasa ameondolewa , je utaratibu wa kurejesha magwanda ya umma ukoje ?
 
Koh Koh Koh.........leo ni Mwigulu Nchemba's day
Utaratibu uliopo iwapo Askari atafukuzwa kazi/Kufariki au kuacha kazi basi mavazi yote(Sare) pamoja na silaha kama alikuwa nazo hurejeshwa ofisini
 
Huu mwezi nyoko sana.
Haya ni matukio makubwa yakiyotokea mwaka huu 2018/07/01
1. Bujibuji kupigwa kibuti na Phina
2. Mwigulu Nchemba kutemwa Baraza la Mawaziri
3. Ajali Mbaya Mbeya imeua zaidi ya watu 20
4. Spain kutolewa kwa penalty 4-3 na Urusi.
Hao wote wanalia kwa sababu waliwekeza mioyo yao isipokuwa Bujibuji anayeamini kwamba kwenye mapenzi hutakiwi kuwekeza moyo, Wekeza KUCHA Na nywele kama zikikatwa zitaota tena.
 
Mwigulu Mchemba kiongozi aliyevuliwa uwaziri wa mambo ya ndani , aliwahi kuonekana mara kadhaa akiwa amevaa Magwanda ya Jeshi la polisi , sina hakika kama aliwahi kupewa kirungu ama silaha yoyote .

Sasa ameondolewa , je utaratibu wa kurejesha magwanda ya umma ukoje ?
Kesho asubuhi na mapema anatakiwa kuviwasilisha .. sio hivyo tu ....bali ile V8 ikiwa na dereva wake pamoja na zile plate number.
 
Mwigulu Mchemba kiongozi aliyevuliwa uwaziri wa mambo ya ndani , aliwahi kuonekana mara kadhaa akiwa amevaa Magwanda ya Jeshi la polisi , sina hakika kama aliwahi kupewa kirungu ama silaha yoyote .

Sasa ameondolewa , je utaratibu wa kurejesha magwanda ya umma ukoje ?

Tulipomtahadharisha na kumtaka ' ajiuzuru ' mapema kama siyo tokea siku nyingi si alituona Sisi hamnazo? Sasa yamemkuta na wenye akili na maono makali tunamcheka tu kwa dharau. Kataeni kubalini ila jueni kwamba kuna Watu Mwenyezi Mungu amewatunuku uwezo wa kuona mbali na kuhisi kinachokuja hivyo wakija humu na kukuambia au kukushauri jambo uwe nalo makini na acheni dharau au kupuuza na baadae mnakuja kujuta na kusema neno ningejua.
 
Back
Top Bottom