Elia siku hizi wamelegeza.. unachotakiwa kwenda nacho ni barua toka kwa mwanasheria inayokutaja wewe ukiwa na akili timamu umeamua kufanya kipimo cha DNA na baada ya hapo utatakiwa kupeleka sampuli (iwe ni mate.. mswaki au nywele au kingine utakachoambiwa) toka kwa wahusika wote.. mfano kama unataka kupima mtoto kama ni wako mara nyingi wanataka sampuli toka kwako.. mtoto na mama yake.. na last time nakumbuka gharama ilikuwa ni Tshs. 100,000.00 kwa kipimo kimoja.. maana yake cha baba.. mama na mtoto jumla inakuwa Tshs. 300,000.00..inafuatana unataka kupima kwaajili ya nini, kama ni 'kesi' mpaka upata kibali kutoka mamlaka zinazo husika kama polisi/mahakama
JIBU: kwa mkemia mkuu, jirani na hospitali ya ocen road POSTA
Elia siku hizi wamelegeza.. unachotakiwa kwenda nacho ni barua toka kwa mwanasheria inayokutaja wewe ukiwa na akili timamu umeamua kufanya kipimo cha DNA na baada ya hapo utatakiwa kupeleka sampuli (iwe ni mate.. mswaki au nywele au kingine utakachoambiwa) toka kwa wahusika wote.. mfano kama unataka kupima mtoto kama ni wako mara nyingi wanataka sampuli toka kwako.. mtoto na mama yake.. na last time nakumbuka gharama ilikuwa ni Tshs. 100,000.00 kwa kipimo kimoja.. maana yake cha baba.. mama na mtoto jumla inakuwa Tshs. 300,000.00..
NB: Kamba za kujinyongea wanatoa bure.. tena zile za nailoni zenye quality nzuri.. na wanatoa ushauri jinsi ya kujimaliza kama majibu ulioyoyapata pale yamekunyong'onyesha..
[/B][/COLOR]Duh, mkuu hapa kwa nyekundu ndiyo umemaliza yaani "kwisha malegea" wangoni wanasema!
Huu uzi umeniaminisha wasemavyo wenzetu kuwa "men make good friends than women" Naona waheshimiwa wengi wanatunziana heshima katika uzi huu, hawataki kashfa katika mfumo dume!
Utakumbuka ushauri wangu huu chonde chonde achana na mambo ya DNA
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza tatizo unatumia miguvu mingi uonekane unajua kumbe unaungua na jua nikikuuliza baada ya kupima what next? Ukiwa unashauli uanapaswa kujenga na siyo kubomoa. TAKE CAREDon't be pathetic. Ukweli ni jambo zuri kufahamika mapema. Watoto wengi wanakengeuka sababu ya upuuzi unaofanywa na wanawake wanapokosa uaminifu. Blood line ya mtu inapaswa kuangaliwa kwa umakini.
Mambo ya 'oooh we lea tu watoto utapata baraka' ni mambo ya buguruni. Sijui tumeumbwaje na mioyo ya kike kama malofa
Ninaaminishwa, wakikuta majibu ni -ve wengi wao wanakuwa wapole ghafla.....wadogoooo kama piritoni.... Ukweli ni kwamba hii mambo INATISHA!Ha ha ha Mtanga Tc.. Kwa mujibu wa records kutoka huko wanakofanya vipimo.. Asilimia 60 ya wanaonda kufanya paternity test majibu yanakuwa negative..
Haswa hiyo ni mojawapo ya sababu za msingi.shukran mkuu. sasa kama unataka for parental test nayo utahitaji kuwa na kibali?
kaka we amua kulea tu kama mimi, ya nini kujitafutia ma-presha ya bure bure? kitanda hakizai haramu!! hao wote ni kwa kwako tu, wanasema ""anayetunza ndiyo mzazi halisi"Habarini wakuu, naomba kufahamishwa gharama ya zoezi hilo, Pia ningependa
kufahamu ni hospitali zipi kwa hapa Tanzania zinatoa huduma hizo.
Ahsanteni.
Habarini wakuu, naomba kufahamishwa gharama ya zoezi hilo, Pia ningependa
kufahamu ni hospitali zipi kwa hapa Tanzania zinatoa huduma hizo.
Ahsanteni.