Utaratibu na gharama za kupima vinasaba (DNA) Tanzania

....kama alikuambia miezi kadhaa kuwa ana mimba na mtoto sasa ana miaka mitano;
...kwanini hukupima muda wote,ama ushahudumia sana ndo machale yanakucheza!??
 
Unamchu
Yaani kwa utaratibu huu usitegemee mkemia akuambie mtoto sio wako,kama mtoto atakuwa ana mzozo(yaani anagombaniwa na baba zaidi ya mmoja) na ikawasilishwa kama kesi hapo majibu yatatolewa kulingana na vipimo vinavyosema. Lkn eti unataka kujua kama ni wako au sio wako hapo jibu utaambiwa ni wako.
unamchukua mshikaji mnajifanya mnagombania mtoto.
 
....kama alikuambia miezi kadhaa kuwa ana mimba na mtoto sasa ana miaka mitano;
...kwanini hukupima muda wote,ama ushahudumia sana ndo machale yanakucheza!??
Mimi sins tatizo demu ndo anataka DNA.
 
avatar yako inaonyesha wewe una mpasuko katikati ya miguu mkuu, kumbe dume? hivi watu wengine mnapata ujasiri gani kujipresent kama wanawake kumbe ni wanaume?

tukija kwenye point, DNA mara nyingi inadanganya, hasa katika dunia hii ya wachawi na washirikina. hivi unaamini wanawake wengi sana tanzania wanabakwa usiku na wachawi na wanazalisha na watoto kabisa? hata ukifanya sensa humu kama kuna mwanamke alishawahi kukaa uswahilini, wapo wengi tu wakiamka asubuhi wanajikuta wamelowa wachawi wamewabaka na kuwajojolea kabisa mbegu. na mbegu hizo usifikiri hazifanyi kazi....nyie mnaovaa visuruali na vibana maungo na kujipitisha mbele za watu uswahilini, kuna vibabu vingi tu havina uwezo kuwatongoza hadi kuwapata, huwa wanawafuata usiku. wake za watu wengi tu wanafanywa usiku. hivyo mwanamke anaweza kuwa na uhakika hajawahi kuchepuka hivyo akawa na uhakika watoto watakuwa wako, kumbe ni wa mchawi, na DNA inasema vingineee? sijui mtasingizia ubovu wa mashine ya DNA au vipi sasa.
Unataka unioe mkuu leta posa kwetu.nimeuliza kumsaidia ndugu yangu.
 
Kama mwanamke kisha kuambia hana uhakika kama mtoto ni wa kwako kwa nini ulazimishe?Kama ningekua mimi biashara ingeishia hapo hapo!!
 
Wana jamiiforums wenzangu, kuna binti nilikuwa na mahusiano naye ya kimapenzi. Nilisex naye mara moja huko Singida, baada ya miezi kadhaa akaniambia ana mimba yangu. Mtoto ana miaka mitano sasa, mwanamke anasema hana uhakika kama mtoto ni wangu ama la! Ameshauri tukapime DNA.

Kwa anayejua gharama na taratibu naomba anijulishe.
Kauli ya binti ina nguvu kuliko DNA paternity test, tekeleza anachotaka yeye, dont waste your time
 
Nenda hospitali kubwa na za kisasa utapata utaratibu, gharama na kila kitu kuhusu DNA
 
Back
Top Bottom