Utaratibu na gharama za kupima vinasaba (DNA) Tanzania

Haruna S

Member
Mar 26, 2011
13
3
Naomba msaada wa kujua hospitali hapa Tanzania wanaojishungulisha na kutoa huduma ya kupima vinasaba.

Pia ningependa kujua haya yafuatayo,

- Utaratibu wa kufuata ili kufanya vipimo
- Gharama za kufanya vipimo
- Time frame ( muda gani kupata majibu) n.k

legal-DNA-test.jpg

------ Michango ya wanaJF-------
Hakuna hospitali ya private au government inayopima DNA hapa Tanzania.

Hiyo huduma inatolewa kwa mkemia mkuu wa Serikali pale karibu na hospitali ya Ocean road.

Kuna mambo mengi ya kimaadili (ethical issues) yanatakiwa kuzingatiwa kabla ya kipimo.

DNA unaweza kumpima mtu,ukapata siri ya ndugu mwingine ambaye hakutoa consent ya mambo yake kujulikana.

Mfano rahisi ni wamarekani walivyopima DNA ya dada yake Osama ikawasaidia kujua DNA ya Osama na baadae wakatumia watoto ku confirm alipo Osama.

Hii technology lazima ithibitiwe kwa sababu mfano unaweza kujua siri za ukoo wa mke wako au ndugu zako bila idhini yao mfano uwezekana mkubwa wa kupata magonjwa ya kurithi n.k.


Nimemkataa baba mzazi, na sitaki kupima DNA

Nakwenda kupima DNA niombeeni

Kipimo cha DNA...Ungekuwa Ungefanyaje?

Sasa kupima DNA muhimbili ni 100,000 tu

Hizi hapa taratibu za kupima DNA...


Screenshot_20191031-225248_Drive.jpeg
Screenshot_20191031-225342_Drive.jpeg
Screenshot_20191031-225351_Drive.jpeg
Screenshot_20191031-225359_Drive.jpeg
 
Ukitaka kupima DNA ili kujua kama una mahusiano na mtu fulani, Nenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali. Kama upo Dar es Salaam, Ofisi yake inapatikana karibu na hospitali ya Ocean Road. Huduma hii hutolewa hapo ingawa sijajua gharama na procedure za kupatiwa huduma hii.
 
Ukitaka kupima DNA ili kujua kama una mahusiano na mtu fulani, Nenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali. Kama upo Dar es Salaam, Ofisi yake inapatikana karibu na hospitali ya Ocean Road. Huduma hii hutolewa hapo ingawa sijajua gharama na procedure za kupatiwa huduma hii.
Nashukuru, nitafuatilia.
 
Ukitaka kupima DNA ili kujua kama una mahusiano na mtu fulani, Nenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali. Kama upo Dar es Salaam, Ofisi yake inapatikana karibu na hospitali ya Ocean Road. Huduma hii hutolewa hapo ingawa sijajua gharama na procedure za kupatiwa huduma hii.

***
Gharama ni laki moja kwa kila mmoja.
Ila upimaji unafanywa kwa ombi la mahakama. Kama kuna madai ya uthibitisho kwenye ugawaji wa mirathi.
Ama kesi ya kukataa mtoto ambayo iko mahakamani.
 
Muhimbili, Bugando na pia hospital kubwa kama KCMC wanatoa hiyo huduma. Wanaofanya kazi huko watujuze ni Tsh ngapi.
 
Muhimbili, Budando na pia hospital kubwa kama KCMC wantoa hiyo huduma. Wanaofanya kazi huko watujuze ni shs ngapi.
Nimejaribu kufuatilia Muhimbili nimetoka kapa, hakuna aliyenipa maelezo ya uhakika labda kama kuna mtu anajua sehemu specific au mtu ambaye ninaweza kumuuliza.
 
***
Gharama ni laki moja kwa kila mmoja.
Ila upimaji unafanywa kwa ombi la mahakama. Km kama kuna madai ya uthibitisho kwenye ugawaji wa mirathi.
Ama kesi ya kukataa mtoto ambayo iko mahakamani.
Laki moja ni gharama ya kuridhisha.Hakuna sehemu yoyote wanatoa hiyo huduma bila kupitia mahakamani
 
Laki moja ni gharama ya kuridhisha.Hakuna sehemu yoyote wanatoa hiyo huduma bila kupitia mahakamani

Mkuu uliza ofisi ya mkemia mkuu wa serikali nadhani ni karibu na Ocean Road Hospital unaweza saidika hapo.
 
Laki moja ni gharama ya kuridhisha.Hakuna sehemu yoyote wanatoa hiyo huduma bila kupitia mahakamani

Kwenye lile zoezi la upimaji lilifanyika miaka ya nyuma kwa kila anayetaka kwenda iligundulika ASILIMIA 50 ya waliopimwa hawaendani na waliitwa ndo baba zao.

Hivyo ikahofiwa kutatokea uvunjaji wa ndoa mkubwa na matukio ya kuuana kwa wanandoa kama imethibitishwa kuna cheating.

Just imagine umesomesha watoto sita aafu unagundua mmoja tu ndo halali yako! Ikawekwa sheria ili wale watakaopimwa wewe kweli in claim ya kujua ukweli ndo maana lazima order itoke mahakamani sio kwa sababu tu umejisikia kupima.

Wapo wanaochakachua si unajua tz si kila kilichopangwa ndo kinavyokuwa.
 
Kweli tupo nyuma sana kimaendeleo
DNA mpaka mahakama.
Jesus Christ.
OTIS
 
Kweli tupo nyuma sana kimaendeleo
DNA mpaka mahakama.
Jesus Christ.
OTIS
Mkuu ndo mahali pekee wanapoweza kufanya hiyo kipimo na tukujua wanaohitaji ni wengi wameona ili ku-limit the wahitaji then tuweke hiyo iwe na kibali cha mahakama, nadhani tukipata Musa wa kutuvusha jangwani salama kwenda nchi ya ahadi. Uchumu wa kupaa, huduma bora za jamii, Afya, Elimu, Maji, n.k tunaweza kuwa na huduma ya vina saba kila hospitali ya mkoa na hata wilaya, mungu tusaidie
 
Ningependa kufanya uhakiki kuhusu DNA yangu,ili nijue kwa uhakika baba yangu ni nani.DNA inapimwa wapi? And how much does it cost? If I cannot afford the cost,anaweza kutokea Good Samaritan kunisaidia?
 
Mh! We unatafuta m.a.t.a.k.o ya nyoka sasa! Vipi unahisi kuna mdingi ndo babako tofauti na mzee wako? Au anamshiko nini? Achana na mawazo hayo. Otherwise nenda ustawi wa jamii watakupa mwongozo sahihi.
 
Jamani mbona watuwengine wanapenda kujitia BP? unawasiwasi wa nini? ebu ongea na mzazi wako wa kike ndio atakupa SIRI ...
 
Jaribu kupitiia sheria inayoitwa Human DNA Regulatory Act 2009 itakueleza kwa upana.
 
Okay,nimeipata. Hii DNA regulatory act 2009 inasema kwamba kama unataka kupima DNA unatakiwa kuwaandikia regulatory authority, and that is all. Kwa sababu nimekuwa challenged by a family member niende kupima DNA. nimemwambia,''Kwa nini nikapime, kama mtu anataka kupima DNA yangu, it can be done, kumbuka Bill Clinton na Monica Lewinsky.
 
Process for paternity issues in Tanzania is only chini ya Mkemia Mkuu wa serikali na gharama yake ni laki 3
 
mhh! lakini weye si mtoo wa kwanza wa Mwalimu Nyerere inamaana kuna mgogoro ndani ya family tafadhili uje na majibu basi.
 
Back
Top Bottom