Utaratibu wa kupata tax clearance certificate ni tatizo

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,486
8,702
Hii nchi mazingira ya biashara bado ni magumu sana.

TRA bado ni kikwazo sana kwenye mazingira bora ya kufanya biashara Tanzania, jamaa wana ukadiriaji wa kukomoa vile na bila kuwekeza kwenye ujanja janja huwezo toboa.

Nimefuatilia certficate kwa ajili ya biashara yangu, nimepata usumbufu sana hasa kwenye ukadiriaji, usipokuwa makini unakadiriwa kodi ambayo hutakaa uiweze hata kabla ya kuanza biashara.

Mazingira bado sio rafiki kwa kufanya biashara nchini.
 
Mimi nilienda nikaona kodi yao si rafiki kwangu mimi mfanya biashara kwa kuwa biashara yenyewe nilikuwa sijainza

Nikaondoka zangu hadi leo sijarudi nafikiria nirudi kwa gia gani.
 
TRA na wahusika
Kwenye hili kwa kweli sio fair
Tunaomba mlifanyie kazi

Sheria inasema kodi inakatwa kwenye faida
Haya makadirio kabla ya faida ni sheria gani?.
mnalazimishaje mtu kulipa kodi na ndio anaanza?.hio faida katoa wapi?

kama mna lengo la kusaidia watu kuanzisha biashara na kujiajiri tafadhali ondoeni hicho kitu kwa Kampuni mpya
 
Back
Top Bottom