Utaratibu wa kupata Mbolea za Yara

Syolosu

JF-Expert Member
Oct 18, 2019
867
1,008
Natumai mnaendelea vizuri na majukumu yenu bila kusahau harakati za kampeni za uchaguzi.

Kuna maswali najiuliza juu ya huu mchakato wa ugawaji wa mbolea za yara.

Utaratibu unakutaka Kuomba kupitia kujisajili kwa kutumia menyu unayoipata kwa kupiga *149*46*16# kwanye mitandao ya simu. Utaratibu unakutaka utumie Id no ya mpigakura.

Baada ya kujisajili ikiwa bahati yako unajulishwa sehemu yakwenda kuchukua mbolea ktk kituo kilichoidhinishwa kugawa mbolea kulingana na taarifa ulizozijaza.

Je hi mbolea ni yaruzuku?

Kama ya ruzuku kwa nini iwe YARA tu?

Watu wasio wakulima wamepewa nafasi ya kuipata ambapo baada ya kuipata wanaiuza !

NB
Kama huu mchakato ni wa YARA wenyewe asanteni, maana labda ni mbinu ya kuitambulisha zaidi mbolea yenu.
Lakini wanaopata wengi sio wakulima wanaiuza baada yakuipata kwani utaratibu unataka uwe na kitambulisho cha mpigakura.

Pia baadhi ya mawakala wameongeza sharti lingine LA kulipia soln fertilizer iliupewe mbolea.
 
Kuna watu/wakulima humu hawajui hizo mbolea za yara, hvyo sio mbata ungezielezea/kuweka ufafanuzi kidogo
 
Wakulima tumekosa wamepata wasio hata na kopo la maua.

Everyday is Saturday.............................. :cool:
 
Natumai mnaendelea vizuri na majukumu yenu bila kusahau harakati za kampeni za uchaguzi.

Kuna maswali najiuliza juu ya huu mchakato wa ugawaji wa mbolea za yara.

Utaratibu unakutaka Kuomba kupitia kujisajili kwa kutumia menyu unayoipata kwa kupiga *149*46*16# kwanye mitandao ya simu. Utaratibu unakutaka utumie Id no ya mpigakura.

Baada ya kujisajili ikiwa bahati yako unajulishwa sehemu yakwenda kuchukua mbolea ktk kituo kilichoidhinishwa kugawa mbolea kulingana na taarifa ulizozijaza.

Je hi mbolea ni yaruzuku?

Kama ya ruzuku kwa nini iwe YARA tu?

Watu wasio wakulima wamepewa nafasi ya kuipata ambapo baada ya kuipata wanaiuza !

NB
Kama huu mchakato ni wa YARA wenyewe asanteni, maana labda ni mbinu ya kuitambulisha zaidi mbolea yenu.
Lakini wanaopata wengi sio wakulima wanaiuza baada yakuipata kwani utaratibu unataka uwe na kitambulisho cha mpigakura.

Pia baadhi ya mawakala wameongeza sharti lingine LA kulipia soln fertilizer iliupewe mbolea.
nimepewa hii message toka ijumaa baada ya kujisajili Hi...................,we will notify you if you`r eligible to receive the donation and when the fertilizer is available in your location. sijui imekaaje naona kimya ila watu wengine wanapakia tu mifuko toka kwa mbunge mmoja staafu wa ccm eneo tunalokaa,watu wanatoka na mifuko mbili mbili
 
Nami nimepata msg kama hiyo yako sasa waliponichanganya zaidi ni ile msg yapili sijui kama kwako pia imefika ile yenye link yakukubali mashart navigezo, nimejaribu kufuata hiyo link sion hiyo sehemu yakutia tiki wala nin
 
NILICHOKIGUNDUA KUHUSU UGAWAJI WA MBOLEA HIZI ZA MSAADA TOKA YARA
juzi jumanne trh 17 Nov majira yajioni nikiwa ktk moja ya duka lapembejeo zakilimo nilishuhudia watu wakija ktk hilo duka nakusema wamepata maelekezo ktk simu zao kua wafuate mbolea dukani hapo jamaa alikua anawajibu tu kuwa njoeni kesho asubuhi uje na hiyo msg uliyotumiwa na YARA pia uje ununue nambegu dukani hapa, sijaona mhudumu akicomand idadi yakilo zambegu zakununua nazan hata ukinunua kifuko kimoja cha kilo mbili sawa tu.

Wengi wao wa waliokuwa wanakuja pale niwatu wazima naweza sema nikuanzia miaka 50,kuna mzee amekuja pale anasema amekuja kuchumchukulia na mkewe mana wote wamepata msg.kwavijana wenzangu niliokua nawaona pale niwaliokuja karibu wote niwaliokuja kufuata kwa niaba ya mtu mwingine..

ILINIBIDI SIKU ILE PALE DUKANI ninunue mbegu tu nanikamsisiza aniandike risiti, japo nilienda na hesabu yakununua mbegu na mbolea nikasema ngoja kuhusu mbolea niache kwanza nitanunua asubuhi mana chochote kinaweza kutokea usiku huu nami nikapata msg uzuri duka lenyewe lipo njia hiyo hiyo yauelekeo washambani kwangu,kwakweli hadi panakucha yn jana asubuhi hakuna msg yoyote ya YARA niliyoikuta kwene simu yangu bas jana asubuhi nikapitia pale dukan nikanunua zangu mbolea nikaondoka muda huo nimekuta watu wameshajaa wamefuata mbolea yamsaada .

HIVYO NILICHOKIGUNDUA ile sehemu ya kujaza namba zakitambulisho cha utaifa au chakura kuna taarifa zako wanazichungulia pale hasa umri wako
 
Back
Top Bottom