Utaratibu wa kupata cheti kingne kilichoptea UDSM

dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,507
2,063
kama kichwa cha hbr hapo juu mm nimepoteza cheti changu cha chuo kikuu UD
naulizia kama kuna uwezekano wa kupata kingne na mchakato hua unakuaje
 
Hatua ya kwanza kabisa report kituo cha polisi cha karibu kisha upewe loss report

Wengine watamalizia hatua zinazofuata
 
baada ya #2, nenda chuoni upewe utambulisho was kuwa ulisoma udsm, ie. cheti cha udsm hakitoki zaidi ya kimoja hadi 2015!


lkn transcript zinatoka kadri unavyotaka wewe, ilimradi ulipe 15000tsh kwa mtanzania na $15 kwa asiye mbongo
 
Back
Top Bottom