cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,317
- 7,509
Taratibu za kumuondoa Spika madarakani
1,Mbunge yeyote anayetaka kumuondoa Spika madarakani atawasilisha hoja kwa ibara 84(7) (d) ya katiba atawasilisha kusudio hilo na atatoa sababu
2,Baada ya kupokea taarifa hiyo ,katibu ataipelekeka taarifa hiyo kwenye kamati ya Haki , Maadili na madaraka ya Bunge kujadiliwa
3,Endapo kamati ya Haki,maadili na madaraka ya bunge wataridhika na tuhuma kutokana na vipengele vya katiba ibara ya 84(7)(a)(b)(c)(d)(e)(f)(g)na (h) litapelekwa bungeni kuamuliwa
4,Naibu Spika atakalia kiti wakati wa mjadala na Spika anaruhusiwa kujitetea wakati wa mjadala
5,Spika ataondolewa ikiwa kura zimepigwa na theluthi mbili ya wabunge wote watakuwa wamekubali kusudio la kumuondoa Spika madarakani na kura zitakuwa za siri
6,Spika anayejiuzulu atatoa maelezo ya kujiuzulu nafasi yake bungeni kabla ya hoja ya kumuondoa madarakani